-
Nguvu za makombora za Iran, upeo wa juu wa maendeleo ya kiulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu
Jan 03, 2019 08:08Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, miradi ya kiulinzi hususan umakini na uwezo wa hali ya juu wa makombora, umeifanya Iran kuwa taifa lililopiga hatua nzuri sana za kiulinzi.
-
Mogherini: EU haitairuhusu Marekani iingilie uhusiano wake na Iran
Jan 02, 2019 11:47Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya amesema Marekani haiwezi na haipaswi kuitwisha EU sera zake na kwamba umoja huo wenye nchi wanachama 28 hautairuhusu Washington iufanyie maamuzi juu ya uhusiano wake wa kibiashara na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif: Kilichosalia ni utawala wa Trump na utawala wa Israeli kujiondoa katika sayari ya dunia
Jan 02, 2019 03:45Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif ameashiria uamuzi wa Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kujiondoa rasmi katika Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNSECO) na kusema kitu pekee kilichobakia sasa ni kujiondoa kwao katika sayari ya dunia.
-
Ulimwengu wa Spoti, Disemba 31
Dec 31, 2018 03:42Mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa....
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi dhidi ya watalii nchini Misri
Dec 30, 2018 11:07Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi la hivi karibuni lililopelekea kuuawa watalii kadhaa huko nchini Misri.
-
Iran: Kuwepo Marekani katika Ghuba ya Uajemi kunasababisha wasiwasi na mivutano
Dec 29, 2018 12:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Tokea awali sisi tumekuwa tukiamini kwamba kuwepo Marekani katika Ghuba ya Uajemi, mbali na kuwa ni kinyume cha sheria lakini pia kunasababisha hali ya wasiwasi na mivutano."
-
Iran: Safari ya kinyemela ya Trump Iraq ni kuwakosea heshima Wairaq
Dec 28, 2018 21:37Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema safari ya siri na ya kushtukiza ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini Iraq imekiuka misingi yote ya udiplomasia na ni kutoheshimu uhuru wa kujitawala nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Meja Jenerali Safavi: Marekani haina nafasi tena Mashariki ya Kati
Dec 27, 2018 11:15Msaidizi na Mshauri mwandamizi wa Amiri Jeshi Mkuu wa vikosi vya jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Marekani haina nafasi tena katika eneo la Mashariki ya Kati na kwa msingi huo Wamarekani wanapaswa kuondoa katika eneo hili.
-
Maafisa wa Iran na Misri wajadili masuala ya pande mbili
Dec 27, 2018 11:13Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa, Hossein Amir-Abdollahian amekutana hapa mjini Tehran na kufanya mazungumzo na afisa mkuu anayeshughulikia maslahi ya Misri hapa nchini, Yasser Othman ambapo wamesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili.
-
Iran yalaani shambulizi la kigaidi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya
Dec 26, 2018 11:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulio la kigaidi lililotokea jana katika jengo la Wizara ya Mambo ya Nje ya Libya mjini Tripoli.