-
Kuunga mkono Palestina; Sera thabiti ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran + Video
Dec 24, 2018 04:07Ujumbe wa wabunge wa Palestina ukiongozwa na Mahmoud Al Zahar Mkuu wa Mrengo wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, katika bunge, ambaye pia ni mwanachama wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas, uko mjini Tehran kwa lengo la kufanya mazungumzo na wakuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Spoti, Dec 24
Dec 24, 2018 03:57Hujambo mpenzi msikilizaji wa RT na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa....
-
'Iran haishughulishwi na makelele ya Marekani; itaimarisha majaribio ya makombora yake'
Dec 21, 2018 23:33Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, SEPAH, limeapa kuwa litaendelea na majaribio na utafiti wake wa makombora kwa kasi zaidi ya huko nyuma na litapuuza mashinikizo na vikwazo vya Marekani.
-
Taarifa ya mwisho ya Kikao cha 5 cha Baraza Kuu la Uhusiano wa Kistratijia wa Iran na Uturuki
Dec 21, 2018 01:10Marais wa Iran na Uturuki wamesisitiza katika taarifa ya mwisho ya Kikao cha 5 cha Baraza Kuu la Uhusiano wa Kistratijia wa nchi hizo mbili umuhimu wa kuchukuliwa hatua za dharura za kufanikisha biashara yenye thamani ya dola bilioni 30 kwa mwaka kati ya pande hizo mbili.
-
Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran, ni hatua ya kigaidi kwa asilimia mia moja
Dec 20, 2018 12:16Rais Hassan Rouhani amesema: Hatua ilizochukua Marekani dhidi ya Iran ni za kigaidi kwa asilimia mia moja, kwa sababu nchi hiyo inazitisha nchi nyingine zisitekeleze azimio nambari 2231, zisifanye biashara huru wala kutekeleza matakwa ya wananchi wao, mashirika na wadau wa kiuchumi.
-
Safari ya Uturuki ya Rais Rouhani; Mwanzo Mpya wa Ushirikiano wa Kistratijia
Dec 20, 2018 03:49Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumatano aliwasili mjini Ankara nchini Uturuki akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa akiitikia mwaliko wa Rais Recep Tayyip Erdoğan wa nchi hiyo.
-
Dakta Kharrazi: Wamarekani wameitumbukiza Saudi Arabia katika kinamasi
Dec 19, 2018 23:10Mkuu wa Baraza la Kistratijia la Uhusiano wa Nje la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wamarekani wameitumbukiza Saudi Arabia katika kinamasi na hivi sasa Riyadh imegeuka na kuwa mhudumu wao.
-
Iran: Lugha ya heshima inapaswa kuchukua nafasi ya lugha ya vikwazo na vitisho
Dec 19, 2018 04:23Naibu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema taifa hili limeishi chini ya vikwazo kwa miaka mingi na hata kupata mafanikio makubwa chini ya vikwazo hivyo, na kwa msingi huo, lugha ya heshima inapaswa kuchukua nafasi ya lugha ya vikwazo na vitisho.
-
Kukiri Marekani kushindwa siasa zake za kuipindua serikali ya Syria
Dec 18, 2018 23:18Mgogoro wa Syria na vita vya ndani vya nchi hiyo vilivyoanza mwaka 2011 vimeitumbukiza nchi hiyo ya Kiarabu katika mgogoro mkubwa. Suala hilo linatumiwa vibaya pia na madola ya kibeberu ya Magharibi yakiongozwa na Marekani kwa kushirikiana na vibaraka wake wa nchi za Kiarabu kama vile Saudi Arabia kumalizia hasira zao kwa taifa hilo.
-
Zarif amshangaa Netanyahu kwa kusifia makombora mapya ya Israel
Dec 18, 2018 12:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali kitendo cha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel cha kuonesha majivuno na kusifia makombora mapya ya utawala huo wa Kizayuni.