-
Zarif amshangaa Netanyahu kwa kusifia makombora mapya ya Israel
Dec 18, 2018 12:06Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali kitendo cha Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel cha kuonesha majivuno na kusifia makombora mapya ya utawala huo wa Kizayuni.
-
Jumanne tarehe 18 Disemba 2018
Dec 17, 2018 23:56Leo ni Jumanne tarehe 10 Rabiuthani 1440 Hijria sawa na Disemba 18 mwaka 2018.
-
Qassemi: Uhusiano mzuri wa Iran na Iraq unaendelea
Dec 17, 2018 10:23Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, licha ya kuweko njama zisizo na natija za Marekani, uhusiano wa Tehran na Baghdad upo katika kiwango kizuri.
-
Ayatullah Amoli Larijani akosoa undumakuwili wa Wamagharibi katika vita dhidi ya ugaidi
Dec 17, 2018 10:22Mkuu wa Vyombo vya Mahakama nchini Iran amekosoa vikali undumakuwili wa baadhi ya mataifa ya dunia katika vita dhidi ya ugaidi na kusema kuwa, baadhi ya madola yanadai kupambana na ugaidi na wakati huo huo yanawakingia kifua magaidi.
-
Rais wa Iraq aishukuru Iran kwa msaada katika vita dhidi ya ISIS (Daesh)
Dec 15, 2018 23:12Rais wa Iraq ameishukuru kwa dhati Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa msaada wake katika vita vilivyopelekea kushindwa magaidi wakufurishaji wa kundi la ISIS au Daesh nchini humo.
-
Zarif: Iran katu haitafanya mazungumzo kuhusu makombora yake
Dec 15, 2018 11:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif amesisitiza kwa mara nyingine kuwa, Iran haitafanya mazungumzo kuhusu makombora yake ya kujihami.
-
Ayatullah Siddiqi: Demokrasia ya Uliberali imefika ukingoni
Dec 14, 2018 12:38Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amesema demokrasia ya uliberali duniani ipo ukingoni kusambaratika na kutoweka kikamilifu.
-
Zarif: Nguvu na ushawishi wa Marekani duniani unaendelea kufifia
Dec 14, 2018 12:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema jitihada za Rais Donald Trump za kuzishurutisha nchi nyingine zisifanye biashara na Tehran zinaonesha bayana namna uwezo, nguvu na ushawishi wa Marekani duniani unavyofifia na kudhoofika siku baada ya nyingine.
-
Iran yakaribisha mapatano ya awali ya amani Yemen
Dec 14, 2018 03:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ameyataja matokeo ya awali ya mazungumzo ya amani ya Yemen huko Stockholm nchini Sweden kuwa chanya na yenye kuleta matumaini.
-
Msimamo makini wa Russia, wa kupinga JCPOA kuhusishwa na masuala mengine ya Iran
Dec 13, 2018 23:12Baada ya Marekani kujitoa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA mnamo mwezi Mei mwaka huu wa 2018, kila mara imekuwa ikijaribu kufanya kila njia kuzishusisha shughuli za nyuklia za Iran na masuala mengine, ili kutetea na kuhalalisha uamuzi wake wa kujitoa kwenye makubaliano hayo.