-
Mkutano wa Troika ya Syria mjini Tehran, kigezo bora cha kuigwa cha uishirikiano wa kikanda
Sep 07, 2018 02:50Leo Ijumaa Tehran ni mwenyeji wa kikao cha viongozi wa nchi tatu muhimu katika mchakato wa kurejesha amani nchini Syria, yaani Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki.
-
Iran yaufanyia majaribio mfumo wa makombora wa Bavar 373 kwa mafanikio makubwa
Sep 07, 2018 00:21Naibu Waziri wa Ulinzi wa Iran, Ghasem Taghizadeh amesema kuwa jeshi la Iran limeufanyia majaribio mfumo wa ulinzi wa anga wa makombora wa Bavar 373 kwa mafanikio makubwa.
-
Dakta Larijani: Iran na Russia zina nafasi kubwa katika vita dhidi ya ugaidi Mashariki ya Kati
Sep 06, 2018 09:58Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran na Russia zimekuwa na nafasi muhimu mno katika uga wa kupambana na ugaidi katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Kikao cha Baraza la Usalama la UN, baraza la propaganda za Trump dhidi ya Iran
Sep 06, 2018 05:47Mwakilishi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, Marekani ambayo ni mvunjaji mkubwa zaidi wa sheria za kimataifa inalitumia vibaya Baraza la usalama kwa ajili ya kupeleka mbele sera na mipango yake ya kujichukulia maamuzi ya upande mmoja.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran avipongeza vikosi vilivyokabiliana na magaidi wa Daesh nchini Syria
Sep 05, 2018 22:29Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikosi vya kijeshi vilivyopambana na magaidi nchini Syria vimeweza kusambaratisha njama kubwa iliyokuwa imeratibiwa dhidi ya usalama wa Mashariki ya Kati.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia akosoa vikali muamala wa Marekani dhidi ya Iran
Sep 05, 2018 03:02Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergey Lavrov amekosoa vikali sera za upande mmoja zinazotekelezwa na Marekani na kueleza kwamba muamala wa Washington dhidi ya Iran si wa kitaalamu wala hauendani na uhalisia wa mambo.
-
Nchi za dunia zinapaswa kushirikiana na Iran katika kukabiliana na mihadarati
Sep 04, 2018 22:02Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasema nchi zote ambazo zinafaidika na jitihada zake za kupambana na mihadarati zinapaswa kuisaidia kiufundi na kifedha.
-
Japan yasisitiza kuendelea kununua mafuta ya Iran
Sep 04, 2018 09:12Waziri wa Uchumi, Biashara na Viwanda wa Japan amesisitiza kufanyika juhudi za kuendelea kuagiza mafuta kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais Rouhani: Maadui hawawezi kuizuia Iran katika mkondo wa ustawi
Sep 04, 2018 08:57Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maadui hawana uwezo wa kulizuia taifa la Iran katika mkondo wake wa ustawi.
-
Walid al Mualim: Ajenda Kuu ya kikao cha Iran, Uturuki na Russia ni kuhusu kukombolewa Idlib
Sep 03, 2018 22:09Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesisitiza kuwa suala kuu lilogubika kikao cha pande tatu cha viongozi wa Iran, Russia na Uturuki mjini Tehran lilikuwa kuhusiana na kukombolewa mkoa wa Idlib.