-
Sifa za kipekee za kituo cha ulinzi wa anga Iran kwa mtazamo wa Kiongozi Muadhamu
Sep 03, 2018 06:20"Kituo cha Ulinzi wa Anga cha Jeshi la Iran, ni sehemu muhimu ya majeshi kwani iko katika mstari wa mbele wa kukabiliana na maadui wa Iran."
-
Naibu Waziri wa Ulinzi: Iran itaimarisha uwezo wake wa makombora
Sep 01, 2018 21:52Naibu Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kuwa na uwezo wa makombora ya balistiki na cruise na kumiliki ndege za kivita za kizazi kipya pamoja na manowari na nyambizi za kisasa zenye uwezo wa kuenda masafa ya mbali ni kati ya mipango inayofuatiliwa na Wizara ya Ulinzi ya Iran.
-
Mazungumzo ya Dakta Zarif na Waziri Mkuu wa Pakistan
Aug 31, 2018 23:40Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Imrah Khan Waziri Mkuu wa Pakistan aliyechaguliwa hivi karibuni.
-
Safari ya Zarif mjini Islamabad; kufunguliwa ukurasa mpya wa uhusiano wa Iran na Pakistan
Aug 31, 2018 08:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameelekea nchini Pakistan kwa safari rasmi ya siku mbili akiwa mwanadiplomasia wa mwanzo wa kigeni kutembelea nchi hiyo na kukutana kwa mazungumzo na maafisa mbalimbali wa serikali mpya chini ya uwaziri mkuu wa Imran Khan.
-
IAEA yathibitisha kwa mara ya 12 kuwa Iran imeheshimu kikamilifu mapatano ya JCPOA
Aug 30, 2018 23:23Kazem Gharib Abadi, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Iran katika mashirika ya kimataifa yenye makao yao mjini Vienna, Austria amesema kuwa, kwa mara ya 12 mtawalia, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umethibitisha kuwa Iran imeheshimu kikamilifu mapatano ya nyuklia ya JCPOA.
-
India: Hatutoacha kununua mafuta ya Iran licha ya Marekani kututaka tuache
Aug 30, 2018 11:24Afisa mmoja wa ngazi ya juu nchini India amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo itaendelea kununua mafuta ya Iran.
-
Zarif atoa jibu makini kwa vitisho vya Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni dhidi ya Iran
Aug 30, 2018 03:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, vitisho vya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kitendo kilichovuka mpaka wa utovu wa haya katika ulimwengu wa ufidhuli.
-
Ghazi Askar: Iran na Saudia zinaweza kutatua tofauti zao kwa njia ya mazungumzo
Aug 27, 2018 03:31Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija na Ziara na Msimamizi wa mahujaji wa Iran amesema diplomasia ya Hija inaweza kusaidia kuboresha hali ya kisiasa kati ya Tehran na Riyadh na kubainisha kwamba Iran na Saudi Arabia ni nchi mbili kubwa katika eneo na zinaweza kupunguza kwa kiwango kikubwa hitilafu na tofauti zao kwa njia ya mazungumzo.
-
Kutozingatia mashirika mawili ya kifedha ya Marekani vikwazo vya Washington dhidi ya Iran
Aug 25, 2018 09:10Gazeti la The Washington Free Beacon limeandika kuwa, mashirika mawili ya kifedha ya Kimarekani, hayafungamani na amri ya kuhitimisha miamala ya kifedha na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kelele za John Bolton; Iran itasimama kidete na haitatetereka
Aug 23, 2018 05:48John Bolton, Mshauri wa Mais wa Marekani katika Usalama wa Taifa akizungumza mwisho wa safari yake ya siku tatu katika utawala wa Kizayuni wa Israel amekariri madai yake dhidi ya Iran na kusema vitisho na vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vitaongezwa ili kuilazimisha Tehran ibadili msimamo wake.