-
Ndege irukayo kwa mwendo wa kasi kuliko ya sauti ya “Kowsar”; kielelezo cha uwezo wa Iran unaotokana na wataalamu wa ndani + Video
Aug 22, 2018 21:10Rais Hassan Rouhani amesema: "kujizatiti kulinzi Iran maana yake si kushupalia vita ila ni kutaka kuwa na usalama na amani endelevu, kwa sababu historia imetufunza kuwa kama hatutakuwa imara na wenye nguvu tutasambaratishwa."
-
Facebook na Twitter zafunga akaunti za mamia ya watumiaji wake kutoka Iran na Russia
Aug 22, 2018 21:10Mitandao ya kijamii ya Facebook na Twitter imefunga akaundi za mamia ya watumiaji wenye asili ya Iran na Russia kwa madai ya kuhofia wasije wakaathiri matokeo ya uchaguzi wa nchini Marekani.
-
Ammar al Hakim: Iraq haiwezi kuangalia kwa macho tu vikwazo dhidi ya Iran
Aug 22, 2018 21:09Sayyid Ammar al Hakim, kiongozi wa mrengo wa al Hikma wa Iraq kwa mara nyingine amemuonya rais wa Marekani, Donald Trump kuhusu vikwazo vyake dhidi ya Iran na kusema kuwa, Baghdad haiwezi kuangalia kwa macho tu vikwazo vya kiuchumi vinavyowekwa na Washington dhidi ya taifa la Iran.
-
Bashar al-Assad alilikataa pendekezo la Saudia la kujengwa upya Syria kwa kuvunja uhusiano na Iran na Hizbullah
Aug 22, 2018 21:09Mbunge wa harakati ya Hizbullah katika bunge la Lebanon amesema, rais wa Syria hakulikubali pendekezo la Saudi Arabia la kuijenga upya nchi hiyo mkabala wa Syria kuvunja uhusiano wake na Hizbullah na Iran.
-
Balozi: Kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Kenya kinaweza kufikia dola milioni 500
Aug 22, 2018 09:58Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Kenya amesema: kiwango cha mabadilishano ya kibiashara kati ya Tehran na Nairobi kinaweza kuongezeka na kufikia dola milioni 500.
-
Kutokuwa halali vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Aug 22, 2018 03:32Ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa haki za binadamu ametahadharisha kuhusianja na kuenea vita vya kiuchumi ulimwenguni na kusema kuwa, hatua ya Marekani ya kuiwekea vikwazo tena Iran si halali kisheria, ya kidhalimu na ina madhara.
-
Ayatullah Amoli Larijani: Marekani haiwezi kukariri mapinduzdi ya Mordad 28 nchini Iran
Aug 20, 2018 22:14Mkuu wa Vyombo vya Mahakama vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria mapinduzi ya Marekani ya Mordad 28 (Agosti 1953) hapa nchini na kusisitiza kwamba, mara hii taifa la Iran litatoa pigo kali kwa maadui.
-
Rais wa Iraq: Uhusiano wa Tehran na Baghdad ni mzuri
Aug 19, 2018 23:25Rais wa Iraq amevitaja vikwazo dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa ni kwa madhara ya serikali na wananchi wa Iraq.
-
Kukaririwa tuhuma zisizo na msingi za Marekani dhidi ya Iran
Aug 19, 2018 00:01Katika kipindi chote cha miaka 40 ya kuasisiwa mfumo wa Jamhuriya Kiislamu nchini Iran, Marekani daima imekuwa ikifuatilia na kutoa tuhuma maalumu na zisizo na msingi dhidi ya taifa la Iran.
-
Marekani yatoa vitisho tena kwa wanunuzi wa mafuta ya Iran
Aug 17, 2018 23:44Serikali ya Marekani imezitishia tena kuziwekea vikwazo nchi zinazonunua mafuta kutoka Iran ikiwemo China.