-
Hizbullah: Zama za Israel kufanya mashambulizi bila majibu zimepita
Feb 12, 2018 04:21Naibu Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, zile zama za utawala wa Kizayuni wa Israel kufanya mashambulizi na kuachiwa vivi hivi bila ya majibu zimeisha na kuanzia sasa shambulio lolote la Wazayuni litajibiwa vikali.
-
Russia: Tutaendelea kushirikiana na Iran katika vita dhidi ya ugaidi nchini Syria
Feb 12, 2018 04:18Balozi wa Russia nchini Iran ameliambia shirika la habari la nchi yake la Itar-Tass kwamba ushirikiano wa Moscow na Tehran katika vita dhidi ya ugaidi utaendelea nchini Syria.
-
Ulimwengu wa Spoti, Feb 12
Feb 12, 2018 03:52Huu ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya michezo yaliyojiri kitaifa na kimataifa, ndani ya siu saba zilizopita.....
-
Kiongozi Muadhamu awapongeza Wairani kwa ushiriki mkubwa katika maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 12, 2018 01:50Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Jumapili usiku ametoa ujumbe na kuwapongeza wananchi wa Iran kwa kushiriki kwa wingi katika maandamano ya Yawmullah 22 Bahman (11 Februari) ambayo ni siku ya maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Raia wa Iran wajitokeza kwa mamilioni katika maandamano ya sherehe za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2018 04:28Raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wameshiriki kwa mamilioni katika sherehe za ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu katika kilele cha sherehe hizo kilichofikiwa leo.
-
Mamilioni ya Wairan leo kushiriki katika kilele cha sherehe za Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 11, 2018 01:24Mamilioni ya Wairan muda mchache kutokea hivi sasa watamiminika mabarabarani kwa ajili ya kushiriki katika kilele cha sherehe za miaka 39 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu humu nchini.
-
Iran yakanusha madai ya Israel ya kuhusika katika kuangamizwa ndege yake huko Syria
Feb 11, 2018 01:19Bahram, Qassemi, Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha vikali madai ya utawala khabithi wa Israel kwamba Tehran imehusika katika tukio la kuangamizwa ndege yake ya kivita katika anga ya Syria hapo jana.
-
Iran yavunja rekodi katika uuzaji wa gesi ya LPG Afrika, Asia
Feb 10, 2018 13:07Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeweka rekodi mpya katika uuzaji wa gesi aina ya LPG katika nchi kadhaa za mabara ya Afrika na Asia ambapo iliuza tani 520,000 Januari mwaka huu hilo likiwa ni ongezeko la asilimai 39.4 kutoka mwezi uliotangulia.
-
Araqchi:Utawala wa Kizayuni, Saudia, na Marekani ni chanzo cha migogoro Mashariki ya Kati
Feb 09, 2018 10:55Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amelaani vikali sera za Utawala wa Kizyauni wa Israel, Saudi Arabia na Marekani na kusema ndio chanzo cha migogoro na vita Mashariki ya Kati.
-
Wall Street Journal: Iran imepuuza wito wa mazungumzo wa Marekani
Feb 09, 2018 03:41Gazeti la Wall Street Journal la Marekani limeandika kuwa serikali ya Washington imejaribu kufungua njia za kufanya mazungumzo na Tehran lakini Iran imepuuza wito huo.