Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • IAEA na EU zatetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    IAEA na EU zatetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Feb 09, 2018 00:00

    Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na Umoja wa Ulaya (EU) zimetetea tena makubaliano ya nyuklia ya JCPOA baina ya Iran na nchi za kundi la 5+1.

  • Iran na Misri kuimarisha ushirikiano wao wa mabunge

    Iran na Misri kuimarisha ushirikiano wao wa mabunge

    Feb 06, 2018 03:46

    Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa mabunge ya nchi hii na Misri.

  • Jumanne tarehe 6 Februari 2018

    Jumanne tarehe 6 Februari 2018

    Feb 05, 2018 23:14

    Leo ni Februari 19 Jamadil Awwal, 1439 Hijria sawa na 6 Februari, 2018.

  • Ulimwengu wa Michezo: Morocco yatwaa taji la CHAN, Iran yazinyuka China na Myanmar Futsal

    Ulimwengu wa Michezo: Morocco yatwaa taji la CHAN, Iran yazinyuka China na Myanmar Futsal

    Feb 05, 2018 03:42

    Hujambo mpenzi mwanaspoti wa RT na karibu tutupie jicho matukio mawili matatu ya michezo yaliyogonga vichwa habari ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa....

  • Marekani yaeandelea kulaaniwa kwa kumuweka Haniya, kiongozi wa Hamas, katika orodha yake 'magaidi'

    Marekani yaeandelea kulaaniwa kwa kumuweka Haniya, kiongozi wa Hamas, katika orodha yake 'magaidi'

    Feb 04, 2018 04:40

    Kongamano la Kimataifa la Kuunga Mkono Palestina katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, limelaani vikali hatua ya Marekani kumuweka katika orodha eti ya magaidi kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina, Hamas, Ismail Haniya

  • Miamala ya kinafiki ya Marekani na kuwa macho wananchi wa Iran

    Miamala ya kinafiki ya Marekani na kuwa macho wananchi wa Iran

    Feb 02, 2018 04:50

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewahutubu viongozi wa Marekani akiwaambia kwamba, madai yao ya kuwaunga mkono wananchi wa Iran ni sawa na machozi ya mamba.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Iran ndio njia pekee ya kupitishia dawa na chakula kwa ajili ya Qatar

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar: Iran ndio njia pekee ya kupitishia dawa na chakula kwa ajili ya Qatar

    Feb 02, 2018 04:36

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Mohammed bin Abdulrahman Al Thani amesema, baada ya nchi yake kuwekewa mzingiro na Saudi Arabia na waitifaki wake, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa ndio njia pekee ya kudhaminia dawa na chakula kwa wananchi wa Qatar.

  • Naibu balozi wa Iran UN: Ukosefu wa usalama unaongeza umasikini

    Naibu balozi wa Iran UN: Ukosefu wa usalama unaongeza umasikini

    Feb 02, 2018 00:36

    Naibu balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, ukosefu wa usalama na amani unachangia kuongezeka umasikini duniani.

  • Rouhani: Taifa la Iran haliwezi kusahau uvamizi wa Marekani katika eneo

    Rouhani: Taifa la Iran haliwezi kusahau uvamizi wa Marekani katika eneo

    Feb 01, 2018 10:29

    Katika kile kinachoonekana ni radiamali kwa matamshi ya kinafiki ya hivi karibuni ya Rais Donald Trump wa Marekani, Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katu taifa hili haliwezi kusahau vitendo vya kivamizi vya Marekani katika eneo hili la Mashariki ya Kati.

  • Velayati: Iran ndiyo nchi yenye nguvu zaidi Mashariki ya Kati

    Velayati: Iran ndiyo nchi yenye nguvu zaidi Mashariki ya Kati

    Feb 01, 2018 04:27

    Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, Iran ndiyo nchi yenye nguvu zaidi katika eneo nyeti zaidi duniani yaani Mashariki ya Kati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS