-
Russia: Ushahidi uliotolewa na Marekani dhidi ya Iran ni butu
Feb 01, 2018 00:09Russia imesema kuwa ushahidi uliotolewa na Marekani ikidai kuwa Tehran imewapa makombora wapiganaji wa harakati ya al Huothi nchini Yemen ni butu na hauna mashiko.
-
Je, Trump yuko pamoja au dhidi ya watu wa Iran?
Jan 31, 2018 23:07Rais Donald Trump wa Marekani katika hotuba yake ya kila mwaka mbele ya Bunge la Kongresi la nchi hiyo, kwa mara nyingine tena amedia kuwa eti yuko pamoja na watu wa Iran.
-
Rais Rouhani: Wananchi wa Iran katu hawatafumbia macho 'Jamhuri ya Kiislamu'
Jan 31, 2018 04:26Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Iran wenye sifa ya jamhuri na Uislamu ni kumbukumbu ya Imam Ruhullah Khomeini MA mwasisi na mwanzishi wa Jamhuri ya Kiislamu na kusisitiza kwamba, wananchi wa taifa hili katu hawatambufia macho mfumo huu wenye sifa hizi mbili.
-
Madai ya ovyo ya Marekani na kuzidi kuchanganyikiwa White House
Jan 31, 2018 03:58Katika kipindi cha miezi kadhaa iliyopita, serikali ya Donald Trump nchini Marekani imeongeza uadui wake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Tehran yamwadhibu jasusi wa Israel katika masuala ya nyuklia ya Iran
Jan 29, 2018 11:41Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Mapinduzi ya Tehran amesema kuwa, jasusi mmoja amepatikana na hatia ya kuyafanyia ujasusi madola ya kigeni katika masuala ya nyuklia ya Iran na kuhukumiwa kifungo jela humu nchini.
-
Qassemi: Iran inasaidia juhudi za kuimarisha amani Mashariki ya Kati
Jan 29, 2018 03:53Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa sera na siasa zisizobadilika za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kusaidia jitihada za kuimarisha amani na utulivu katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Iran: Ushirikiano wa kimataifa unahitajika kuangamiza zimwi la ugaidi
Jan 28, 2018 04:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulizi la kigaidi lilioutikisa mji mkuu wa Afghanistan, Kabul hapo jana na kuua makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.
-
Jeshi la SEPAH lapambana na magaidi magharibi mwa Iran, wanachama kadhaa wa DAESH watiwa nguvuni
Jan 27, 2018 13:30Kituo cha Najaf cha vikosi vya nchi kavu vya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu, SEPAH (IRGC) kimetangaza kuwa askari wa kituo hicho wamepambana na magaidi wa kundi la ukufurishaji la DAESH katika eneo la magharibi mwa nchi.
-
Senegal yapongeza uungaji mkono wa Iran kwa Waislamu duniani
Jan 27, 2018 04:25Balozi wa Senegal nchini Iran amepongeza uungaji mkono na mchango wa Jamhuri ya Kiislamu kwa Waislamu kote duniani.
-
Muungano wa Saudia, Imarati na Bahrain huko Davos, ni kosa la kistratajia
Jan 27, 2018 04:15Msaidizi Maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa ameutaja muungano eti dhidi ya Iran wa Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu na Bahrain katika Mkutano wa Kimataifa wa uchumi huko Davos nchini Uswisi kama kosa la kistratajia.