-
Uzushi wa Saudia, Marekani na Israel dhidi ya Iran kwa lengo la kubadili uhalisia wa mambo Mashariki ya Kati
Jan 26, 2018 04:47Adel al Jubeir Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia akiwa anafuata kibubusa sera za chuki dhidi ya Iran za Marekani na Utawala wa Kizayuni wa Israel, alitoa hotuba katika kikao cha Jukwaa la Uchumi Duniani huko Davos Uswisi siku ya Jumatano na kutoa tuhuma zisizo na msingi kuwa eti Iran inaunga mkono migongano ya kimadhehebu na ugaidi.
-
Boroujerdi: Hizbullah imechangia pakubwa kusambaratishwa ISIS
Jan 26, 2018 04:17Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetoa mchango mkubwa sana katika jitihada za kuangamizwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS).
-
Ijumaa tarehe 26 Januari, 2018
Jan 26, 2018 00:32Leo ni Ijumaa tarehe 8 Jamadil Awwal 1439 Hijria sawa na Januari 26, 2018.
-
Iran yasema utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo cha matatizo Mashariki ya Kati
Jan 26, 2018 00:27Naibu Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu Iran katika Umoja wa Mataifa amesema utawala wa Kizayuni wa Israel ndio kitovu cha matatizo Mashariki ya Kati ambapo sera zake za uvamizi na kujitanua zimefanya hali kuwa mbaya zaidi.
-
Jumatano tarehe 24 Januari 2018
Jan 24, 2018 01:04Leo ni Jumatano tarehe 6 Jamadil Awwali 1439 Hijria mwafaka na tarehe 24 Januari mwaka 2018.
-
Iran haijadiliani na yeyote kuhusu uwezo wake wa ulinzi
Jan 23, 2018 11:30Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uwezo wa kujihami wa Iran hauwezi kufanyiwa mazungumzo. Ameongeza kuwa, "hakuna yeyote mwenye idhini ya kuingilia masuala ya kujihami na ya makombora ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran."
-
Mwakilishi wa Hamas Iran: Madai ya kuwa na uhusiano na Israel yanapasa kusitishwa
Jan 23, 2018 04:51Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas nchini Iran amelaani jinai na hatua za kujitanua za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wa Palestina na kueleza kuwa madai ya kuwa na mahusiano na Israel yanapasa kusitishwa.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 22
Jan 22, 2018 03:12Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu katika dakika hizi chache zilizotengwa kwa ajili ya kuangazia matukio mawili matatu ya michezo yaliyogonga vichwa vya habari kitaifa na kimataifa. Usibanduke kando ya radio yako hadi tamati ya kipindi……..Karibu…..
-
HAMAS yasisitiza kuimarisha uhusiano wake na Iran na Hizbullah ya Lebanon
Jan 21, 2018 10:40Kiongozi mwandamizi wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amesema uhusiano wa harakati hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na harakati ya Hizbullah ya Lebanon umerejea kwenye mkondo wake wa kawaida.
-
Magari ya Mercedes Benz E-Class sasa kuundwa nchini Iran
Jan 20, 2018 04:49Shirika la Mercedes-Benz la Ujerumani litaanza tena kutengeneza magari yake nchini Iran kuanzia mwaka mpya wa Kiirani utakaoanza Machi 21.