Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Barua ya Ismail Hania kwa Kiongozi Muadhamu; Iran muungaji mkono pekee wa kweli wa Palestina

    Barua ya Ismail Hania kwa Kiongozi Muadhamu; Iran muungaji mkono pekee wa kweli wa Palestina

    Jan 19, 2018 04:46

    Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS amemuandikia barua Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akipongeza na kuthamini uungaji mkono wa taifa la Iran na miongozo ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa harakati ya muqawama.

  • Rwanda yasisitiza kuhusu azma ya kustawisha uhusiano na Iran

    Rwanda yasisitiza kuhusu azma ya kustawisha uhusiano na Iran

    Jan 19, 2018 04:18

    Rais Paul Kagame wa Rwanda amesema nchi yake imekusudia kustawisha uhusiano na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika nyanja zote.

  • Haniya amuandikia barua Kiongozi Muadhamu akipongeza msimamo wa Iran kuhusu Quds

    Haniya amuandikia barua Kiongozi Muadhamu akipongeza msimamo wa Iran kuhusu Quds

    Jan 18, 2018 10:56

    Kiongozi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amemuandikia barua Kiongozi Mudhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu akishukuru na kupongeza msimamo wa Iran kuhusu Quds Tukufu.

  • Iran yakanusha madai ya kukubali mazungumzo kuhusu makombora

    Iran yakanusha madai ya kukubali mazungumzo kuhusu makombora

    Jan 17, 2018 23:02

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekadhibisha ripoti iliyochapishwa kwenye gazeti la The Financial Times kuwa Tehran imekubali kuingia katika mazungumzo kuhusu mradi wake wa makombora.

  • Ulimwengu wa Michezo, Jan 15

    Ulimwengu wa Michezo, Jan 15

    Jan 15, 2018 02:46

    Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu katika dakika hizi chache za kutupia jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti, yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, ndani na nje ya nchi.

  • Burkina Faso: Hatua ya Trump dhidi ya Quds inapaswa kuzuiwa

    Burkina Faso: Hatua ya Trump dhidi ya Quds inapaswa kuzuiwa

    Jan 14, 2018 04:29

    Naibu Spika wa Bunge la Burkina Faso ametoa mwito wa kusimamishwa utekelezwaji wa mpango wa Marekani wa kuuhamishia mjini Quds Tukufu, ubalozi wake ulioko Tel Aviv.

  • Larijani: Iran daima ina hamu ya kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika

    Larijani: Iran daima ina hamu ya kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika

    Jan 14, 2018 04:26

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Jamhuri ya Kiislamu ina hamu kubwa ya kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika.

  • Spika wa Baraza la Wawakilishi Indonesia: Quds daima itaendelea kuwa ni mali ya Palestina

    Spika wa Baraza la Wawakilishi Indonesia: Quds daima itaendelea kuwa ni mali ya Palestina

    Jan 14, 2018 01:06

    Kaimu Spika wa Baraza la Wawakilishi la Indonesia amesisitiza udharura wa kuchukuliwa hatua za kurejesha haki za taifa la Palestina na kusema bayana kwamba, daima Beitul-Muqaddas itaendelea kuwa mali ya Palestina.

  • Wizara ya Mambo ya Nje Iran yamjibu Trump, Tehran haitafanya mazungumzo kuhusu JCPOA

    Wizara ya Mambo ya Nje Iran yamjibu Trump, Tehran haitafanya mazungumzo kuhusu JCPOA

    Jan 13, 2018 10:48

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa rasmi ikitangaza kuwa, kwa mara nyinghine tena Rais wa Marekani amelazimika kurefusha muda wa kusitisha vikwazo vya nyuklia vya Iran licha ya juhudi zake za mwaka mzima za kutaka kufuta makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Njama za kuvuruga muungano wa vita dhidi ya ugaidi wa Iran, Russia na Uturuki

    Njama za kuvuruga muungano wa vita dhidi ya ugaidi wa Iran, Russia na Uturuki

    Jan 13, 2018 04:09

    Nchi za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki zina muungano ambao si tu kuwa umeweza kufanikiwa katika medani ya vita dhidi ya ugaidi, bali pia katika mazungumzo ya kidiplomasia, muungano huo umeweza kuibua mabadiliko katika masuala yanayohusiana na tatizo la ugaidi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS