-
Hariri aipongeza Hizbullah, ataka uhusiano uliobora na Iran
Jan 12, 2018 10:18Waziri Mkuu wa Lebanon Saad Hariri ametoa wito wa nchi hiyo kuwekwa mbali na migogoro ya eneo la Mashariki ya Kati huku akiipongeza Harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya nchini hiyo kwa jitihada zake za kupunguza taharuki katika eneo.
-
Uturuki: Fitina ya kuigawa Kurdistan na Iraq, imesambaratishwa na Ankara, Tehran na Baghdad
Jan 12, 2018 04:18Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki, Süleyman Soylu amesema kuwa, fitina iliyokuwa imeratibiwa na baadhi ya madola yenye nguvu kwa ajili ya kuligawa eneo la Kurdistan na Iraq, imesambaratishwa kwa ushirikiano chanya wa Ankara, Tehran na Baghdad.
-
Mashauriano ya Zarif mjini Brussels kuhusu mustakbali wa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Jan 11, 2018 08:54Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran yuko mjini Brussels nchini Ubelgiji kwa ajili ya mashauriano na Mawaziri wenzake wa Mambo ya Nje wa Uingereza, Ufaransa, Ujerumani na bi Federica Mogherini, Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi 19 na sauti
Jan 10, 2018 12:40Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 19 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Tehran yalaani azimio la Kongresi ya Marekani dhidi ya Iran
Jan 10, 2018 12:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani azimio lililopasishwa na Kongresi ya Marekani ikiunga mkono machafuko ya hivi karibuni hapa nchini na kusema: Azimio hilo linaloingilia masuala ya ndani ya nchi nyingine ni suala lisilokubalika.
-
Iran na Misri zatoa wito wa kuendelea kuungwa mkono Palestina
Jan 09, 2018 12:28Hossein Amir-Abdollahian, msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesisitizia umuhimu wa kuendelea kuungwa mkono kadhia ya Palestina.
-
Qassemi: Iran imefanikiwa kuzima mapema njama za serikali ya Marekani
Jan 08, 2018 13:03Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, hamu kubwa ya wananchi wa Iran ya kushiriki vilivyo katika kujiamulia wenyewe mambo yao, daima imekuwa ikizima mapema njama za kila namna za Marekani.
-
Mwanastratijia wa rais wa Marekani: Wasaudia wanaiogopa kama kufa Iran
Jan 08, 2018 12:43Mwanastratijia wa ngazi ya juu wa zamani wa rais nchini Marekani amesema kuwa, Wasaudia wanaiogopa kama kufa Iran.
-
Ulimwengu wa Spoti, Jan 8
Jan 08, 2018 03:04Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu tuangazie matukio mawili matatu ya spoti yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa. Tuandamane sote hadi tamati ya kipindi……Karibu…….
-
Iran, Russia zalitaka Baraza la Usalama lisifuate mashinikizo ya Marekani
Jan 06, 2018 03:54Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia zimekosoa udhaifu wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa wa kukubali mashinikizo ya Marekani ya kuitisha kikao cha dharura kuhusu maandamano ya hivi karibu nchini Iran.