Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran na Armenia zatia saini hati 10 za maelewano wakati wa ziara muhimu ya Pezeshkian

    Iran na Armenia zatia saini hati 10 za maelewano wakati wa ziara muhimu ya Pezeshkian

    Aug 19, 2025 08:06

    Iran na Armenia zimetia saini hati 10 za maelewano kuhusu ushirikiano wa nchi hizo katika nyanja zote wakati wa ziara muhimu ya kiserikali ya Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko Armenia. Lengo la ziara hiyo limetajwa kuwa ni kuimarisha uhusiano kati ya nchi mbili.

  • Ripota wa UN: HAMAS ni taasisi ya kisiasa iliyochaguliwa kupitia uchaguzi, si genge la wauaji

    Ripota wa UN: HAMAS ni taasisi ya kisiasa iliyochaguliwa kupitia uchaguzi, si genge la wauaji

    Aug 19, 2025 03:05

    Francesca Albanese, Ripota Maalumu wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, amesisitiza kwamba Hamas inapasa itambuliwe kama harakati halali ya kisiasa badala ya kundi la wauaji.

  • Naibu kamanda wa IRGC: Israel ilikwenda kombo katika hesabu zake katika vita vya siku 12 dhidi ya Iran

    Naibu kamanda wa IRGC: Israel ilikwenda kombo katika hesabu zake katika vita vya siku 12 dhidi ya Iran

    Aug 18, 2025 23:27

    Naibu Kamanda wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema kuwa Israel ilifanya mahesabu ghalati katika vita vya sku 12 ilivyovianzisha dhidi ya Iran licha ya kwamba utawala huo ulitumia nguvu kamili dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran yaonya: Israel itajitanua zaidi Asia Magharibi iwapo haitadhibitiwa

    Iran yaonya: Israel itajitanua zaidi Asia Magharibi iwapo haitadhibitiwa

    Aug 18, 2025 07:34

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran, Esmaeil Baqaei amesema Israel ni tishio kwa usalama na uthabiti wa Asia Magharibi kutokana na mwenendo wake wake kupenda kujitanua, akionya kuwa eneo hili la kistratejia linaweza kukabiliwa na vita visivyoisha ikiwa utawala huo hautazuiwa.

  • Iran yalaani uamuzi wa Israel wa kuwafurusha Wapalestina Jiji la Gaza

    Iran yalaani uamuzi wa Israel wa kuwafurusha Wapalestina Jiji la Gaza

    Aug 18, 2025 03:15

    Iran imelaani vikali uamuzi wa Israel wa kuwalazimisha Wapalestina kuhama makazi yao na kuelekea kusini mwa Gaza na kusisiitiza kuwa, jamii ya kimataifa na nchi za Kiislamu zina wajibu wa kukabiliana na uhalifu huo wa kutisha wa kivita.

  • Larijani: Israel imedhoofika kutoka na wimbi la makombora ya Iran

    Larijani: Israel imedhoofika kutoka na wimbi la makombora ya Iran

    Aug 17, 2025 23:59

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC), Ali Larijani amesema kuwa, wimbi la mashambulio ya makombora ya Iran lilimfanya adui Mzayuni akate tamaa kikamilifu wakati wa vita vya siku 12 vya Israel ilivyoitwisha Jamhuri ya Kiislamu.

  • Magaidi kadhaa waangamizwa katika operesheni ya IRGC kusini mashariki mwa Iran

    Magaidi kadhaa waangamizwa katika operesheni ya IRGC kusini mashariki mwa Iran

    Aug 17, 2025 08:48

    Vikosi vya usalama vya Iran vimesambaratisha mtandao mkubwa wa magaidi wakufurishaji na kuua kadhaa miongoni mwao, mbali na kunasa silaha na mabomu kadhaa katika mkoa wa kusini mashariki wa Sistan na Baluchestan.

  • Tokea wizi wa maji hadi propaganda dhidi ya Iran; je, Israel inafichaje matatizo yake ya maji?

    Tokea wizi wa maji hadi propaganda dhidi ya Iran; je, Israel inafichaje matatizo yake ya maji?

    Aug 17, 2025 08:45

    Felice Friedson, Mkuu na Mkurugenzi Mtendaji wa The Media Line, mnamo Agosti 15, mwaka huu aliandika makala, yenye kichwa cha habari kisemacho "Tehran, Amka: Teknolojia ya Maji ya Israel, Sio Mabomu ya Nyuklia, Bali ni Daraja la Amani."

  • Iran yamjia juu Makamu wa Rais wa ICJ kwa kuikingia kifua Israel

    Iran yamjia juu Makamu wa Rais wa ICJ kwa kuikingia kifua Israel

    Aug 17, 2025 08:24

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amemkosoa vikali Julia Sebutinde, Makamu wa Rais wa Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ), kutokana na uungaji mkono wake wa wazi kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Mawaziri maluuni wa kizayuni wanaweza kupandishwa kizimbani ICC katika kesi ya kwanza ya apatheidi

    Mawaziri maluuni wa kizayuni wanaweza kupandishwa kizimbani ICC katika kesi ya kwanza ya apatheidi

    Aug 16, 2025 02:30

    Maombi ya kutolewa waranti wa kuwatia nguvuni mawaziri wawili wa utawala wa kizayuni Israel wenye msimamo mikali ya chuki Itamar Ben-Gvir na Bezalel Smotrich kwa mashtaka ya kuhusika na ubaguzi wa rangi wa utenganishaji (apartheid) yamekamilika, lakini bado hayajawasilishwa katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), kwa hofu ya vikwazo vya Marekani na mashinikizo kutoka nje.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS