Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Qalibaf: Muda wa kumdhibiti mbwa kichaa wa Kizayuni unayoyoma

    Qalibaf: Muda wa kumdhibiti mbwa kichaa wa Kizayuni unayoyoma

    Aug 15, 2025 23:27

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, Gaza ndiyo "ngome ya mwisho" ya Waislamu, na kusisitiza haja ya kuungwa mkono Palestina haraka iwezekanavyo, kabla ya ardhi nyingine katika eneo kushambuliwa na kuporwa na utawala ghasibu wa Israel.

  • MSF: Kipindupindu 'kibaya' kuwahi kutokea ndani ya miaka mingi kimeua watu 40 Darfur, Sudan

    MSF: Kipindupindu 'kibaya' kuwahi kutokea ndani ya miaka mingi kimeua watu 40 Darfur, Sudan

    Aug 15, 2025 03:59

    Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF) limeripoti kuwa, watu wasiopungua 40 wamefariki dunia katika eneo la Darfur, Sudan katika kipindi cha wiki moja, huku nchi hiyo ikikabiliana kudhibiti mripuko mkubwa zaidi wa kipindupindu kuwahi kushuhudiwa nchini humo katika kipindi cha miaka mingi.

  • Je, miradi ya pamoja ya mpakani kati ya Iran na Azerbaijan imeingia katika hatua mpya?

    Je, miradi ya pamoja ya mpakani kati ya Iran na Azerbaijan imeingia katika hatua mpya?

    Aug 15, 2025 03:16

    Katika siku za hivi karibuni, sisitizo la viongozi wa Iran na Azerbaijan la kuharakisha miradi ya pamoja ya mpakani kwa mara nyingine tena limewavutia wachambuzi wa masuala ya kieneo kuhusu uhusiano wa nchi mbili hizi.

  • Iran: Haki ya kimsingi ya kujilinda iliyonayo Lebanon inaifanya ihitaji kuwa na uwezo wa kijeshi

    Iran: Haki ya kimsingi ya kujilinda iliyonayo Lebanon inaifanya ihitaji kuwa na uwezo wa kijeshi

    Aug 11, 2025 07:52

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba, kuwa na uwezo wa kijeshi ni muhimu kutokana na haki ya kimsingi ya kujilinda iliyonayo Lebanon.

  • Araqchi: Afisa wa IAEA Tehran, lakini hakuna mpango wa kukaguliwa maeneo ya nyuklia

    Araqchi: Afisa wa IAEA Tehran, lakini hakuna mpango wa kukaguliwa maeneo ya nyuklia

    Aug 11, 2025 05:37

    Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) anatarajiwa kufanya ziara hapa Tehran kwa mazungumzo, lakini kutembelea taasisi za nyuklia si sehemu ya ajenda ya safari hiyo.

  • Iran yazindua kliniki 9 kote nchini za kutibu majeraha kwa kutumia plasma

    Iran yazindua kliniki 9 kote nchini za kutibu majeraha kwa kutumia plasma

    Aug 11, 2025 05:35

    Mohammad Eslami, Makamu wa Rais na Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) ametangaza kuzinduliwa kliniki tisa maalumu kote nchini zinazotumia plasma kutibu majeraha.

  • Velayati: Ikiwa na Russia au bila ya Russia, Iran itaukwamisha ushoroba wa Marekani eneo la Qafqaz

    Velayati: Ikiwa na Russia au bila ya Russia, Iran itaukwamisha ushoroba wa Marekani eneo la Qafqaz

    Aug 09, 2025 23:48

    Ali Akbar Velayati, Mshauri mwandamizi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itapinga kuanzishwa ushoroba wa usafirishaji na wa nishati unaodhibitiwa na Marekani nchini Armenia, jambo ambalo amesema litasababisha hatari kubwa kwa utulivu wa kanda hii.

  • Ayatullah Khamenei amteua Larijani kuwa mwakilishi wake katika Baraza Kuu la Usalama wa Taifa

    Ayatullah Khamenei amteua Larijani kuwa mwakilishi wake katika Baraza Kuu la Usalama wa Taifa

    Aug 07, 2025 22:48

    Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amemteua mwanasiasa mkongwe, Ali Larijani, kuwa mwakilishi wake katika Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC)

  • Iran yamnyonga gaidi wa kitakfiri wa Daesh aliyepatikana na hatia

    Iran yamnyonga gaidi wa kitakfiri wa Daesh aliyepatikana na hatia

    Aug 06, 2025 09:03

    Mamlaka za Mahakama nchini Iran zimemnyonga mwanachama wa kundi la kigaidi na Kitakfiri la Daesh aliyepatikana na hatia ya kufanya mashambulizi ya kigaidi hapa nchini.

  • Ali Larijani ateuliwa Mkuu Mpya wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran

    Ali Larijani ateuliwa Mkuu Mpya wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran

    Aug 06, 2025 04:30

    Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemteua mwanasiasa mkongwe Ali Larijani kuwa Mkuu Mpya wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS