Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Baqaei: Iran haiwezi kuiamini Marekani baada ya kushambulia vituo vyake vya nyuklia

    Baqaei: Iran haiwezi kuiamini Marekani baada ya kushambulia vituo vyake vya nyuklia

    Aug 05, 2025 11:16

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa nchi hii haiiamini Marekani khasa baada ya mashambulizi yake yasiyo na msingi katika vituo vya nyuklia vya Iran vinavyoendesha shughuli zake kwa malengo ya amani.

  • Iran yaalani hatua mpya za Wazayuni wenye misimamo ya mikali za kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa

    Iran yaalani hatua mpya za Wazayuni wenye misimamo ya mikali za kuuvunjia heshima Msikiti wa al Aqsa

    Aug 04, 2025 04:09

    Esmaeil Baqaei Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali kitendo cha Wazayuni wenye misimamo mikali cha kuuvunjia heshima kwa mara nyingine tena Msikiti wa Al-Aqsa wakiongozwa na waziri mtenda jinai wa utawala huo ghasibu Itamar Ben-Gvir ambaye ni Waziri wa Usalama wa Ndani wa Israel.

  • Nchi za Magharibi zinaonyesha sura hasi kuhusu Iran ili kushughulisha maoni ya umma kutokana na mizozo ya ndani

    Nchi za Magharibi zinaonyesha sura hasi kuhusu Iran ili kushughulisha maoni ya umma kutokana na mizozo ya ndani

    Aug 02, 2025 10:34

    Televisheni ya Al Jazeera ya Qatar iliripoti mnamo Julai 31, 2025 kwamba Uingereza na nchi zingine 13 ziliituhumu Iran kuwa inapanga kufanya mauaji na utekaji nyara katika nchi za Magharibi, madai ambayo yamekanushwa vikali na Tehran.

  • Iran yakadhibisha madai hewa ya US na nchi zingine chache za Magharibi dhidi yake

    Iran yakadhibisha madai hewa ya US na nchi zingine chache za Magharibi dhidi yake

    Aug 01, 2025 04:08

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani hatua ya Marekani, Ufaransa na nchi nyingine kadhaa za Magharibi ya kukariri tuhuma zisizo na msingi na za kuchekesha dhidi ya Iran na kuzielezea kuwa ni jaribio la waziwazi la kutaka kubebesha lawama wasiohusika na hila ya kuzibabaisha fikra za umma duniani ziachane na suala muhimu zaidi la wakati huu, yaani mauaji ya kimbari katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu.

  • Rais Pezeshkian: Hakuna nchi inayoweza kuipigisha magoti Iran yenye umoja

    Rais Pezeshkian: Hakuna nchi inayoweza kuipigisha magoti Iran yenye umoja

    Jul 31, 2025 09:06

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa hakuna nchi inayoweza kuwapigisha magoti wananchi wa Iran na hakuna kizuizi chochote kinachoweza kukwamisha ustawi wao madhali wanadumisha umoja na mshikamano wao.

  • Malengo halisi ya Magharibi kuhusu Iran ni yapi?

    Malengo halisi ya Magharibi kuhusu Iran ni yapi?

    Jul 30, 2025 08:29

    Vyombo vya habari vya kigeni, sambamba na kuripoti kauli ya hivi karibuni ya Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu, vimezingatia kwa namna ya kipekee sehemu ya hotuba yake ambapo amesisitiza kuwa: “Mpango wa nyuklia, urutubishaji na haki za binadamu ni visingizio – wanachotaka wao ni dini na elimu yenu.”

  • Qalibaf: Mauaji ya kimfumo ya Wapalestina huko Gaza yanakumbusha jinai za Wanazi

    Qalibaf: Mauaji ya kimfumo ya Wapalestina huko Gaza yanakumbusha jinai za Wanazi

    Jul 30, 2025 04:10

    Mohammad Baqer Qalibaf Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amelaani mauaji ya kimfumo ya Wapaletsina yanayotekelezwa na utawala wa Israel katika Ukanda wa Gaza na kuyataja kuwa yanakumbusha jinai zilizofanywa na Wanazi wakati wa Vita vya Pili vya Dunia.

  • Kwa nini Marekani imeitaka China iache kununua mafuta ya Iran?

    Kwa nini Marekani imeitaka China iache kununua mafuta ya Iran?

    Jul 27, 2025 23:03

    Waziri wa Fedha wa Marekani ametoa wito kwa China kuacha kununua mafuta ya Iran na Russia wakati huu inapokaribia duru mpya ya mazungumzo ya ushuru wa forodha kati ya Marekani na China.

  • Matokeo ya Mkutano wa Istanbul kati ya Iran na Troika ya Ulaya

    Matokeo ya Mkutano wa Istanbul kati ya Iran na Troika ya Ulaya

    Jul 26, 2025 09:10

    Suala la kuondoa vikwazo na kutilia mkazo haki ya Iran ya kurutubisha urani ni miongoni mwa mambo yaliyojadiliwa katika ajenda ya "Mkutano wa Istanbul." Pande hizo zimesisitiza udharura wa kuendeleza mazungumzo.

  • Wanafunzi wa Iran washinda medali tano katika Mashindano ya Kimataifa ya Fizikia 2025

    Wanafunzi wa Iran washinda medali tano katika Mashindano ya Kimataifa ya Fizikia 2025

    Jul 25, 2025 23:01

    Timu ya wanafunzi wa shule za upili kutoka Iran imejinyakulia medali tano za fedha katika Mashindano ya 55 ya Kimataifa ya Fizikia (International Physics Olympiad - IPhO 2025) yaliyofanyika jijini Paris, Ufaransa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS