Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Ulimwengu wa Spoti, Dec

    Ulimwengu wa Spoti, Dec

    Dec 11, 2017 04:33

    Huu ni mkusanyiko wa matukio kadhaa ya spoti yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita, kutoka Iran, Afrika Mashariki na kwengineko......

  • Si muhali Iran kuwa na uhusiano mzuri na Saudia ikiacha mauaji Yemen, kukata uhusiano na Israel

    Si muhali Iran kuwa na uhusiano mzuri na Saudia ikiacha mauaji Yemen, kukata uhusiano na Israel

    Dec 10, 2017 04:29

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili litaacha kuwa na msuguano na Saudi Arabia iwapo Riyadh itaacha kuwashambuliwa kwa mabomu wananchi wasio na hatia wa Yemen sambamba na kukata uhusiano na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Iran na Mauritania kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Iran na Mauritania kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Dec 10, 2017 03:31

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mauritania zimeeleza juu ya hamu na utayarifu wao wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga mbalimbali.

  • Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza mjini Tehran, fursa ya utatuzi au chanzo cha mjadala mpya?

    Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza mjini Tehran, fursa ya utatuzi au chanzo cha mjadala mpya?

    Dec 10, 2017 03:08

    Boris Johnson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, aliwasili hapa mjini Tehran jana Jumamosi na kwa mujibu wa taarifa za vyombo rasmi, lengo la safari yake ni kunyanyua kiwango cha uhusiano baina ya nchi yake na Iran.

  • Jumapili, Disemba 10, 2017

    Jumapili, Disemba 10, 2017

    Dec 09, 2017 23:21

    Leo ni Jumapili tarehe 21 Mfunguo Sita Rabiul Awwal mwaka 1439 Hijria, mwafaka na tarehe 10 Disemba 2017 Miladia.

  • Wairani waandamana kulaani uamuzi wa Rais Trump kuhusu Baitul Muqaddas

    Wairani waandamana kulaani uamuzi wa Rais Trump kuhusu Baitul Muqaddas

    Dec 08, 2017 11:29

    Maelfu ya wananchi wa Iran wameandamana leo baada ya Swala ya Ijumaa katika miji mbalimbali hapa nchini wakilalamikia na kulaani uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuutambua mji wa Baitul Muqaddas wa Palestina kama mji mkuu wa utawala vamizi wa Israel.

  • Taarifa ya mwisho ya Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu yatilia mkazo Intifadha Mpya

    Taarifa ya mwisho ya Kongamano la Kimataifa la Umoja wa Kiislamu yatilia mkazo Intifadha Mpya

    Dec 08, 2017 00:00

    Kongamano la Kimataifa la 31 la Umoja wa Kiislamu limetoa taarifa na kulaani matamshi ya juzi ya Rais wa Marekani kuhusu Quds na kusisitiza kuwa kuna haja kwa Ulimwengu wa Kiislamu kuanzisha Intifadha Mpya ya Palestina ili kukabiliana na mashambulizi dhidi ya Quds.

  • Iran yatoa jibu kwa uamuzi wa Marekani wa kuhamishia ubalozi wake Baitul Muqaddas

    Iran yatoa jibu kwa uamuzi wa Marekani wa kuhamishia ubalozi wake Baitul Muqaddas

    Dec 07, 2017 00:36

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa taarifa maalumu, ambayo mbali na kulaani kutangazwa Baitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala ghasibu wa Israel imesisitiza pia kwamba tangazo hilo lilotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani ni ukiukaji wa wazi wa maazimio ya kimataifa.

  • Spika wa Bunge la Algeria: Umoja baina ya Waislamu ni neema ya Mwenyezi Mungu

    Spika wa Bunge la Algeria: Umoja baina ya Waislamu ni neema ya Mwenyezi Mungu

    Dec 06, 2017 01:23

    Spika wa Bunge la Algeria amesema kuwa ushirikiano unaondoa hitilafu na mifarakano na matunda yake makubwa ni utajiri mkubwa ambao tunalazimika kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa ajili yake.

  • Saudi Arabia; Kitovu cha njama za Marekani dhidi ya Iran

    Saudi Arabia; Kitovu cha njama za Marekani dhidi ya Iran

    Dec 04, 2017 23:13

    Matamshi ya kichokozi ya wakuu wa Saudi Arabia dhidi ya Iran yanaendelea kukosolewa na kuchunguzwa katika duru za kisiasa na kuna tetesi kadhaa kuhusu sera hizo za watawala wa Riyadh.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS