Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Saudi Arabia; Kitovu cha njama za Marekani dhidi ya Iran

    Saudi Arabia; Kitovu cha njama za Marekani dhidi ya Iran

    Dec 04, 2017 23:13

    Matamshi ya kichokozi ya wakuu wa Saudi Arabia dhidi ya Iran yanaendelea kukosolewa na kuchunguzwa katika duru za kisiasa na kuna tetesi kadhaa kuhusu sera hizo za watawala wa Riyadh.

  • Mapambano dhidi ya dawa za kulevya yanahitaji azma ya kimataifa

    Mapambano dhidi ya dawa za kulevya yanahitaji azma ya kimataifa

    Dec 04, 2017 11:20

    Kongamano la Kimataifa la Kupambana na Dawa za Kulevya limenaza leo mjini Moscow, Russia kwa kushirikisha maspika wa mabunge ya nchi zaidi ya 40.

  • Iran yatoa wito wa mazungumzo baina ya Wayemen ili kuvunja njama za adui

    Iran yatoa wito wa mazungumzo baina ya Wayemen ili kuvunja njama za adui

    Dec 04, 2017 03:30

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema mazungumzo ni njia bora zaidi kwa makundi mbali mbali ya Yemen kutatua migogoro yao na kuzuia maadui wa kigeni kutumia vibaya mgogoro uliopo nchini humo.

  • Ulimwengu wa Spoti, Dis 4

    Ulimwengu wa Spoti, Dis 4

    Dec 04, 2017 02:50

    Hujambo mpenzi mwanaspoti na karibu tutupie jicho matukio muhimu kadhaa yaliyogonga vichwa vya habari ndani ya siku saba zilizopita, katika nyuga za spoti, ndani na nje ya nchi. Karibu......

  • Ujumbe wa Iran kwa Ulimwengu wa Kiislamu wa 'Wito wa Mazungumzo'.

    Ujumbe wa Iran kwa Ulimwengu wa Kiislamu wa 'Wito wa Mazungumzo'.

    Dec 03, 2017 23:08

    Eneo la Asia Magharibi halina uwezo wa kuhimili tena mgogoro mwengine mpya. Madola ya eneo yanafahamu fika kuwa madola yaliyo nje ya eneo yanajaribu kuibua migogoro katika eneo hilo la kistratijia.

  • Kiongozi Muadhamu: Kuimarishwa vikosi vya jeshi kunalinda taifa

    Kiongozi Muadhamu: Kuimarishwa vikosi vya jeshi kunalinda taifa

    Dec 03, 2017 12:00

    Amiri Jeshi Mkuu wa majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia uhasama usiokoma wa maadui dhidi ya taifa la Iran na Mfumo wa Kiislamu hapa nchini na kusema kuwa, kukabiliana na mahasimu hao kunahitajia kuimarishwa zaidi uwezo wa jeshi la taifa.

  • Zarif: Magaidi wazawa wa Magharibi ndio wanaowaua watoto Syria, Iraq

    Zarif: Magaidi wazawa wa Magharibi ndio wanaowaua watoto Syria, Iraq

    Dec 03, 2017 10:46

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Magharibi zitoe ufafanuzi kuhusu ni kwa nini wimbi la watoto wanaozaliwa, kulelewa na kupata elimu katika nchi hizo ndio wanaoongoza katika mauaji yanayofanywa na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) dhidi ya watoto wa Syria na Iraq.

  • Iraq: Kiongozi wa Daesh yuko hai, anaishi kwa kujificha kama mapanya

    Iraq: Kiongozi wa Daesh yuko hai, anaishi kwa kujificha kama mapanya

    Dec 02, 2017 04:56

    Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Iraq amefichua kwamba, ripoti za kiintelijensia zinaonesha kwamba, kiongozi wa kundi la kigaidi na kiwahabi la Daesh, Abu Bakr al Baghdadi bado yuko hai na anajificha katika maeneo ya mpaka wa nchi hiyo na Syria.

  • Iran na Russia ni nembo ya ushirikiano katika vita dhidi ya ugaidi

    Iran na Russia ni nembo ya ushirikiano katika vita dhidi ya ugaidi

    Dec 01, 2017 03:58

    Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano baina ya nchi hii na Russia katika vita dhidi ya ugaidi ni nembo ya aina yake na mfano wa kuigwa kote duniani.

  • Zarif: Iran iko Syria kwa

    Zarif: Iran iko Syria kwa "ombi rasmi" la serikali ya Damascus

    Dec 01, 2017 01:10

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwepo Iran nchini Syria kumetokana na ombi rasmi la serikali ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS