-
Rouhani: Uhasama wa Saudia ni mbinu ya kuficha changamoto zinazoikabili
Nov 29, 2017 04:50Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Saudi Arabia kushadidisha uhasama na uadui wake dhidi ya Tehran ni mbinu ya kujaribu kuficha kufeli kwake katika masuala ya kieneo sawa na changamoto zinazoukabili utawala wa Riyadh ndani ya nchi hiyo.
-
Atwan: Israel haina ubavu wa kutekeleza vitisho inavyotoa dhidi ya Iran
Nov 29, 2017 01:35Gazeti la Al-Ra'yul-Yaum limeandika kuhusu vitisho hewa vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kueleza kwamba Tel Aviv haiwezi kutekeleza kivitendo vitisho vyake vya kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya Iran nchini Syria na kumuua kigaidi Jenerali Qassim Soleimani, kwa sababu ikijaribu kufanya hivyo itakabiliwa na mwisho mbaya na si hasha ikawa sababu ya kuangamizwa moja kwa moja.
-
Sheikh wa al Azhar aalikwa kushiriki Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu, Tehran
Nov 27, 2017 04:41Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kimataifa ya Kukurubisha Pamoja Madhehebu za Kiislamu amemwalika rasmi Sheikh wa al Azhar nchini Misri kushiriki katika Mkutano wa Kimataifa wa Umoja wa Kiislamu utakaoanza tarehe 4 mwezi ujao wa Disemba hapa mjini Tehran.
-
Jeshi la Majini la Iran lazima shambulizi la maharamia Ghuba ya Aden
Nov 26, 2017 10:38Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanikiwa kuzima shambulizi la maharamia dhidi ya meli ya mizigo katika Ghuba ya Aden.
-
Chuki dhidi ya dini ya Kiislamu katika nchi za Kimagharibi-15 na sauti
Nov 25, 2017 15:30Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kutegea sikio sehemu ya 15 ya makala yanayozungumzia chuki na matukio ya kibaguzi dhidi ya Uislamu na Waislamu kwa ujumla katika nchi za Magharibi.
-
Mkurugenzi Mkuu wa IAEA asisitiza tena kwamba Iran imefungamana na makubaliano ya JCPOA
Nov 25, 2017 00:52Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) amesisitiza kwa mara nyengine tena kuwa Iran imefungamana na kutekeleza kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Ayatullah Kadhim Siddiqi: Kusambaratishwa ISIS kumeitia kiwewe Marekani na Israel
Nov 24, 2017 13:02Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo hapa mjini Tehran amepongeza hatua ya kusambaratishwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) na kusisitiza kuwa, habari hizo zimechoma nyoyo za waungaji mkono wa magenge ya kigaidi duniani.
-
Iran: Afrika isigeuzwe kimbilio la magenge ya kigaidi na ukufurishaji
Nov 24, 2017 12:25Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia udharura wa kufanyika jitihada za kuzuia bara la Afrika kugeuka kuwa kimbilio na kitovu cha magenge ya kigaidi na yenye misimamo ya kufurutu ada, kufuatia kusambaratishwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) katika nchi za Syria na Iraq.
-
Velayati: Iran inajitolea muhanga kulinda usalama wa majirani zake
Nov 24, 2017 00:52Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, ushawishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwenye eneo hili ni wa kujivunia kwani ni ushawishi wa kirafiki na kwamba Tehran inajitolea muhanga kulinda usalama wa majirani zake.
-
Ripoti mpya ya IAEA yathibitisha kufungamana Iran na makubaliano ya JCPOA
Nov 23, 2017 10:55Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) kwa mara nyingine tena umethibitisha katika ripoti yake mpya ya msimu kuwa Iran imetekeleza majukumu yake kuhusu makubaliano ya JCPOA.