Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Kiongozi: Kujitokeza kwa wingi wananchi katika medani za kupambana na madola ya kiistikbari ni muujiza wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Kiongozi: Kujitokeza kwa wingi wananchi katika medani za kupambana na madola ya kiistikbari ni muujiza wa Mapinduzi ya Kiislamu

    Nov 23, 2017 03:45

    Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, jana Jumatano alikutana na maelfu ya wapiganaji wa kujitolea wa jeshi la Basij waliokwenda kuonana naye kutoka maeneo mbalimbali ya Iran na kusema kujitokeza kwa wingi vijana katika medani mbalimbali hasa medani ya kupambana na madola ya kiistikbari na kibeberu ni kati ya miujiuza ya Mapinduzi ya Kiislamu.

  • Qassemi: Hatujaiomba Tunisia iwe mpatanishi kwenye mgogoro wa Iran na Saudia

    Qassemi: Hatujaiomba Tunisia iwe mpatanishi kwenye mgogoro wa Iran na Saudia

    Nov 22, 2017 23:59

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amepuuzilia mbali madai kuwa Jamhuri ya Kiislamu imeiomba Tunisia iwe mpatanishi katika mgogoro kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Saudi Arabia.

  • Sudan yapinga misimamo dhidi ya Iran ya baadhi ya nchi za Kiarabu

    Sudan yapinga misimamo dhidi ya Iran ya baadhi ya nchi za Kiarabu

    Nov 22, 2017 23:57

    Rais Omar Hassan al Bashir wa Sudan amesema kuwa nchi yake haikubaliani na misimo iliyodhidi ya Iran na tangazo la vita la baadhi ya nchi za Kiarabu dhidi ya Jamhuri ya Kislamu.

  • Iran yapendekeza kuundwa kambi tofauti za kiuchumi katika nchi za Kiislamu

    Iran yapendekeza kuundwa kambi tofauti za kiuchumi katika nchi za Kiislamu

    Nov 21, 2017 23:34

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuundwa kambi tofauti za kiuchumi katika nchi za Kiislamu kulingana na uwezo wa nchi husika kwa shabaha ya kupanua hisa ya nchi hizo katika uchumi wa kimataifa ni jambo la dharura.

  • EU: Hakuna uwezekano wa kujadiliwa upya makubaliano ya nyuklia ya Iran

    EU: Hakuna uwezekano wa kujadiliwa upya makubaliano ya nyuklia ya Iran

    Nov 21, 2017 10:48

    Afisa mwandamizi wa taasisi moja ya Umoja wa Ulaya amesema hakuna uwezekano wala mpango wowote wa kuyadili upya makubaliano ya nyuklia ya Iran.

  • Ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA na tabia ya Marekani ya kutotekeleza majukumu yake

    Ukiukaji wa makubaliano ya JCPOA na tabia ya Marekani ya kutotekeleza majukumu yake

    Nov 19, 2017 13:34

    Mwenendo wa Marekani wa kukiuka makubaliano ya kimataifa ya nyuklia ya Iran JCPOA kwa kifupi umeingia katika awamu mpya baada ya matamshi yaliyotolewa na Rais wa nchi hiyo, Donald Trump.

  • Zarif: Iran, Russia na Uturuki zimeazimia kulinda amani endelevu huko Syria

    Zarif: Iran, Russia na Uturuki zimeazimia kulinda amani endelevu huko Syria

    Nov 19, 2017 12:48

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran, Uturuki na Russia zikiwa ni nchi zinazosimamia mazungumzo ya Astana kwa ajili ya amani nchini Syria ziko tayari kuandaa mazingira ya kudumisha amani na usalama endelevu.

  • Qatar: Uhusiano wetu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa

    Qatar: Uhusiano wetu na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa "kipekee"

    Nov 19, 2017 00:39

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar ameutaja uhusiano uliopo kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa wa "kipekee".

  • Iran: Sumu hatari ya Uwahabi na Utakfiri ilizaliwa Saudi Arabia

    Iran: Sumu hatari ya Uwahabi na Utakfiri ilizaliwa Saudi Arabia

    Nov 18, 2017 04:22

    Mshauri na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Saudi Arabia ndio chimbuko na sehemu ilikozaliwa idiolojia hatari ya Utakfiri inayotumiwa na magenge ya kigaidi kama vile Daesh (ISIS).

  • Zarif: Saudia inachukua hatua za kijinga na kihasama

    Zarif: Saudia inachukua hatua za kijinga na kihasama

    Nov 17, 2017 23:33

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wasaudia wanapuuza uhakika na hali halisi ya kihistoria na kuchukua hatua za kihasama na kijinga ambazo zinaendelea kuwasababishia madhara wao wenyewe.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS