-
Iran: Sumu hatari ya Uwahabi na Utakfiri ilizaliwa Saudi Arabia
Nov 18, 2017 04:22Mshauri na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema Saudi Arabia ndio chimbuko na sehemu ilikozaliwa idiolojia hatari ya Utakfiri inayotumiwa na magenge ya kigaidi kama vile Daesh (ISIS).
-
Zarif: Saudia inachukua hatua za kijinga na kihasama
Nov 17, 2017 23:33Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Wasaudia wanapuuza uhakika na hali halisi ya kihistoria na kuchukua hatua za kihasama na kijinga ambazo zinaendelea kuwasababishia madhara wao wenyewe.
-
Jumamosi, Novemba 18, 2017
Nov 17, 2017 23:26Leo ni Jumamosi tarehe 29 Safar 1439 Hijria sawa na 18 Novemba 2017.
-
Iran yaomboleza kifo cha Mtume wa rehma na amani, Muhammad bin Abdillah (saw)
Nov 17, 2017 13:21Iran ya Kiislamu leo imeghariki katika huzuni, majonzi na simanzi katika siku ya tarehe 28 Mfunguo Sita Safar inayokumbusha tukio chungu la kuaga dunia na kurejea kwa Mola Mtume wetu Muhammad (saw) na mjukuu wake, Imam Hassan bin Ali bin Abi Twalib (as).
-
Ijumaa, Novemba 17, 2017
Nov 16, 2017 23:13Leo ni Ijumaa tarehe 28 Mfunguo Tano Safar 1439 Hijria, sawa na Novemba 17, 2017.
-
Marekani yazuia mchango wa wahanga wa tetemeko la ardhi lililoua mamia Iran
Nov 16, 2017 12:26Wizara ya Fedha ya Marekani imezuia kufanyika mchango kwa ajili ya wahanga wa tetemeko la ardhi lililotokea katika mpaka wa Iran na Iraq na kusababisha maafa makubwa.
-
Mtazamo wa Iran kuhusu njia za kuleta usalama Asia Magharibi (Mashariki ya Kati)
Nov 16, 2017 04:14Sera za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Asia Magharibi (Mashariki ya Kati) zimejengeka katika msingi wa kuleta amani, uthabiti na utulivu. Iran inafualitia sera za kupunguza migogoro na malumbano katika eneo na inashiriki katika mipango yote yenye kufikia lengo hilo.
-
Nyuma ya pazia la mashinikizo ya kuiondoa Iran nchini Syria
Nov 16, 2017 00:52Pamoja na kwamba Iran ni nchi iliyoko mstari wa mbele katika vita dhidi ya magaidi wakufurishaji nchini Syria, lakini waungaji mkono wa nyuma ya pazia wa magaidi wa Daesh (ISIS) hivi sasa wanafanya njama za kuhakikisha wanaandaa mazingira ya kurejea magaidi nchini humo kupitia kukabiliana waziwazi na kambi ya muqawama.
-
Iran: Saudia inaua raia wengi nchini Yemen, kuliko magenge ya kigaidi
Nov 15, 2017 04:18Balozi na Naibu Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema muungano vamizi wa kijeshi wa Saudi Arabia unaua idadi kubwa ya raia nchini Yemen kuliko magenge ya kigaidi.
-
Iran na Ghana zasisitiza kupanua ushirikiano wao katika sekta ya kilimo
Nov 15, 2017 00:23Waziri wa Jihadi ya Kilimo wa Iran na Makamu wa Rais wa Ghana wamesisitizia udharura wa kufanyika kikao cha kamisheni ya pamoja ya uchumi na kupanuliwa ushirikiano katika sekta ya kilimo kati ya nchi mbili.