-
Seneti ya Marekani yaakhirisha kura kuhusu vikwazo vipya dhidi ya Iran
Jun 09, 2017 03:32Seneti ya Marekani imeakhirisha kuupigia kura mpango wa vikwazo vipya vya upande mmoja dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hadi Jumatatu tarehe 12 mwezi huu.
-
VIDEO: Magaidi wakiingia katika ofisi za huduma kwa raia za Bunge la Iran mjini Tehran
Jun 08, 2017 14:11Video ya awali kabisa inayoonesha magaidi wakiingia katika jengo la kutoa huduma kwa wananchi wa kawaida la Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, yaani Bunge la Iran.
-
VIDEO: Jeshi la SEPAH la Iran likiokoa wafanyakazi waliovamiwa na magaidi katika ofisi za Bunge, Tehran
Jun 08, 2017 14:06Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran wakiwaokoa wafanyakazi wa ofisi za Bunge mjini Tehran baada ya magaidi kujiingiza kwenye jengo hilo kwa mavazi ya kike.
-
Iran yatenga bandari tatu kuipelekea chakula Qatar
Jun 08, 2017 13:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Muhammed bin Abdul Rahman Aal Thani amesema kuwa, Tehran imetenga bandari zake tatu kwa ajili ya kupeleka chakula nchini Qatar.
-
Mawahabi ndio waliofanya mashambulio ya kigaidi mjini Tehran, Iran
Jun 08, 2017 11:06Wizara ya Usalama wa Taifa ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema kuwa, magaidi waliofanya mashambulizi jana Jumatano hapa Tehran wametambuliwa. Imesema, magaidi hao walikuwa na uhusiano wa moja kwa moja na magenge ya Kiwahabi nje ya Iran.
-
Rouhani: Iran itajibu mapigo ya maadui kupitia umoja na mshikamano
Jun 08, 2017 02:23Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu itasambaratisha njama za maadui kupitia umoja na mshikamano wa wananchi wa taifa hili.
-
Trump awalaumu na kuwakejeli mashahidi wa mashambulio ya Tehran
Jun 08, 2017 02:16Katika hali ambayo dunia nzima inaendelea kutoa mkono wa pole na kutuma salamu za rambirambi kufuatia mashambulio pacha ya kigaidi yaliyotokea jana hapa mjini Tehran, Rais Donald Trump wa Marekani ametoa ujumbe unaoonekana kuwalaumu na kuwakejeli mashahidi waliouawa katika hujuma hizo.
-
Wizara ya Mambo ya Ndani: Mashambulio ya kigaidi Tehran yamehatimishwa, watu 12 wameuawa
Jun 07, 2017 11:13Wizara ya Mambo ya Ndani ya Jamhuri ya Kiislamu ya iran imetangaza kuwa, mashambulio mawili ya kigaidi yaliyotokea leo mjini Tehran yamehatimishwa na kwamba, kila kitu kiko chini ya udhibiti wa vikosi vya usalama.
-
UN na EU zalaani mashambulio ya kigaidi ya Tehran, Baraza la Usalama la UN latoa heshima kwa waliouawa
Jun 07, 2017 11:09Mratibu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa hapa nchini na Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya wamelaani mashambulio ya kigaidi yaliyotokea leo hapa mjini Tehran.
-
Magaidi washambulia Bunge la Iran na Haram ya Imam Khomeini
Jun 07, 2017 03:18Watu wawili akiwemo afisa wa usalama wameripotiwa kuuawa huku watu wengine wanane wakijeruhiwa baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia majengo ya Bunge la Iran na Haram ya Imam Khomeini MA, katika mji mkuu Tehran.