Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran kushiriki zaidi katika kuhuisha barabara ya hariri

    Iran kushiriki zaidi katika kuhuisha barabara ya hariri

    May 16, 2017 23:18

    Waziri wa Uchumi wa Iran Ali Tayyebnia amesema Iran itajihusisha zaidi katika kuhuisha Barabara ya Hariri.

  • Waziri wa Ulinzi Iran: Kushiriki kwa wingi Iran katika uchaguzi

    Waziri wa Ulinzi Iran: Kushiriki kwa wingi Iran katika uchaguzi

    May 16, 2017 09:08

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema kujitokeza kwa wingi katika uchaguzi wa Ijumaa ndio kinga kubwa zaidi ya kuyazuia madola ya kibeberu yanayotoa vitisho dhidi ya Iran.

  • Madai yasiyo na msingi kwamba Iran inapeleka silaha nchini Yemen

    Madai yasiyo na msingi kwamba Iran inapeleka silaha nchini Yemen

    May 16, 2017 03:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Bahram Qassemi ameashiria mashambulio ya Saudi Arabia dhidi ya Yemen yaliyoanza Machi mwaka 2015 na kuendelea hadi sasa na kueleza kwamba Wayemeni wana silaha nyingi sana ambapo bila ya kuzingaia ukweli huo, Saudia ilidhani itaweza kuhatimisha vita hivyo kwa manufaa yake ndani ya kipindi kifupi mno.

  • Qassemi: Kikao cha Marekani na Waarabu mjini Riyadh ni njama za Kizayuni

    Qassemi: Kikao cha Marekani na Waarabu mjini Riyadh ni njama za Kizayuni

    May 15, 2017 23:42

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria safari ijayo ya Rais Donald Trump wa Marekani nchini Saudia kwa ajili ya kushiriki katika mkutano wa nchi za Kiarabu na Marekani mjini Riyadh na kusema kuwa, kufanyika kikao hicho ni katika njama za Wazayuni.

  • US: Lengo la safari ya Trump Mashariki ya Kati ni dhidi ya Iran

    US: Lengo la safari ya Trump Mashariki ya Kati ni dhidi ya Iran

    May 15, 2017 03:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amesema lengo kuu la safari ya wiki ijayo ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo katika eneo la Mashariki ya Kati ni kwa ajili ya kuunda 'umoja' dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Qalibaf ajiondoa katika uchaguzi wa rais Iran, amuunga mkono Raisi

    Qalibaf ajiondoa katika uchaguzi wa rais Iran, amuunga mkono Raisi

    May 15, 2017 09:15

    Meya wa Tehran Mohammad Baqer Qalibaf amejiondoa katika mchuano wa kuwania urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Ulimwengu wa Spoti, Mei 15

    Ulimwengu wa Spoti, Mei 15

    May 15, 2017 03:24

    Huu ni mkusayiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita.....

  • Waziri wa Lebanon: Iran ni mfano wa kuigwa wa demokrasia duniani

    Waziri wa Lebanon: Iran ni mfano wa kuigwa wa demokrasia duniani

    May 14, 2017 22:01

    Waziri wa Fedha wa Lebanon Ali Hassan Khalili amesema uchaguzi nchini Iran ni miongoni mwa mifano bora ya kuigwa ya chaguzi za kidemokrasia zinazofanyika kwa uwazi zaidi duniani.

  • Jumatatu, Mei 15, 2017

    Jumatatu, Mei 15, 2017

    May 14, 2017 21:54

    Leo ni Jumatatu, tarehe 15 Mei Mwaka 2017 Miladia, sawa na tarehe 18, Shaaban, Mwaka 1438 Hijria.

  • Larijani: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ni ngao ya ulinzi kwa Iran

    Larijani: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ni ngao ya ulinzi kwa Iran

    May 14, 2017 11:56

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi wananchi katika uchaguzi wa Ijumaa ijayo ya tarehe 19 Mei 2017 kutaipa kinga madhubuti Iran mbele ya vitisho vya maadui.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS