Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Larijani: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ni ngao ya ulinzi kwa Iran

    Larijani: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi ni ngao ya ulinzi kwa Iran

    May 14, 2017 08:21

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, kujitokeza kwa wingi wananchi katika uchaguzi wa Ijumaa ijayo ya tarehe 19 Mei 2017 kutaipa kinga madhubuti Iran mbele ya vitisho vya maadui.

  • Iran kufungua kampuni ya kutengeneza trekta nchini Zimbabwe

    Iran kufungua kampuni ya kutengeneza trekta nchini Zimbabwe

    May 14, 2017 02:48

    Balozi wa Iran mjini Harare amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuanzisha kampuni ya kutengeneza tingatinga nchini Zimbabwe.

  • Iran yakamata magaidi na kunasa mada za milipuko

    Iran yakamata magaidi na kunasa mada za milipuko

    May 13, 2017 09:27

    Vikosi vya usalama Iran vimefanikiwa kusambaratisha kijikundi cha kigaidi ambacho kilikuwa kinapanga kutekeleza hujuma ndani ya nchi.

  • Wagombea urais Iran wafanya mdahalo wa tatu na wa mwisho

    Wagombea urais Iran wafanya mdahalo wa tatu na wa mwisho

    May 12, 2017 22:54

    Wagombea sita wa uchaguzi wa 12 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, jana jioni walifanya mdahalo wa tatu na wa mwisho ambao ulihusiana na suala la uchumi.

  • Ayatullah Kadhim Siddiqi: Uchaguzi ni alama ya uwezo na izza ya taifa la Iran

    Ayatullah Kadhim Siddiqi: Uchaguzi ni alama ya uwezo na izza ya taifa la Iran

    May 12, 2017 11:45

    Imamu wa muda wa Sala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo mjini Tehran, amesema kuwa ushiriki wa wananchi wa Iran katika nyanja mbalimbali za kisiasa na katika uchaguzi ni dhihirisho la uwezo, izza na imani ya wananchi hao kwa Mwenyezi Mungu Mtukufu.

  • Mdahalo wa tatu wa wagombea urais Iran kufanyika Ijumaa Alasiri

    Mdahalo wa tatu wa wagombea urais Iran kufanyika Ijumaa Alasiri

    May 12, 2017 01:14

    Mdahalo wa tatu na wa mwisho wa wagombea sita wa kiti cha urais wa awamu ya 12 katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utafanyika leo saa kumi na nusu kwa majira ya Tehran .

  • Hotuba ya Kiongozi Muadhamu katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kijeshi cha Imam Hussein AS

    Hotuba ya Kiongozi Muadhamu katika mahafali ya Chuo Kikuu cha Kijeshi cha Imam Hussein AS

    May 11, 2017 07:35

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu sambamba na kusisitiza juu ya umuhimu wa uchaguzi ujao hapa nchini amebainisha nukta na mambo yanayoipatia nguvu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran yajadidisha uungaji mkono wake kwa Palestina katika ujumbe kwa Haniya

    Iran yajadidisha uungaji mkono wake kwa Palestina katika ujumbe kwa Haniya

    May 10, 2017 03:14

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia salamu za pongezi Ismail Haniya kwa kuteuliwa kuwa Mkuu mpya wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina Hamas.

  • EU yayataja makubaliano ya nyuklia ya Iran kama 'hatua kubwa'

    EU yayataja makubaliano ya nyuklia ya Iran kama 'hatua kubwa'

    May 10, 2017 03:08

    Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametoa wito wa kuungwa mkono na kutekelezwa ipasavyo makubaliano ya nyuklia ya Vienna sambamba na kukabiliana na hatua yoyote ya kukwamisha utekelezaji wake.

  • Iran na Cameroon kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Iran na Cameroon kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    May 10, 2017 03:05

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Cameroon zimesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa nchi mbili hizi katika nyuga tofauti hususan ya kiuchumi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS