Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Zaidi ya Wairani milioni 56 wametimiza masharti ya kupiga kura

    Zaidi ya Wairani milioni 56 wametimiza masharti ya kupiga kura

    May 09, 2017 23:17

    Kamati ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema Wairani zaidi ya milioni 56 wametimiza masharti yote ya kupiga kura na hivyo wanatazamiwa kushiriki katika uchaguzi ujao wa urais.

  • Ivory Coast yaiomba Iran iisaidie kuimarisha sekta ya uchukuzi

    Ivory Coast yaiomba Iran iisaidie kuimarisha sekta ya uchukuzi

    May 09, 2017 09:52

    Waziri wa Uchukuzi wa Ivory Coast, Amadou Kone ameiomba Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iisaidie nchi hiyo ya Kiafrika kuboresha mfumo wake wa uchukuzi wa umma.

  • Waafghani: Iran ndio inafanya juhudi kubwa kurejesha amani nchini kwetu

    Waafghani: Iran ndio inafanya juhudi kubwa kurejesha amani nchini kwetu

    May 08, 2017 23:49

    Licha ya Marekani na washirika wake katika eneo kueneza propaganda chafu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wachambuzi wa masuala ya kisiasa nchini Afghanistan, wamekaribisha na kupongeza juhudi za taifa hili kwa ajili ya kudumisha usalama na amani nchini mwao na nafasi ya Tehran katika uwanja huo.

  • Ulimwengu wa Spoti, Mei 8

    Ulimwengu wa Spoti, Mei 8

    May 08, 2017 05:48

    Huu ni mkusayiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita.....

  • Iran yaionya Saudia dhidi ya kuchukua hatua yoyote ya kishenzi dhidi ya Tehran

    Iran yaionya Saudia dhidi ya kuchukua hatua yoyote ya kishenzi dhidi ya Tehran

    May 08, 2017 02:26

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameuonya vikali utawala wa kifalme wa Aal-Saud dhidi ya kufanya maamuzi yoyote ya kipuuzi dhidi ya taifa hili na kusisitiza kwamba Jeshi la Iran halitachelewa kutoa jibu kali kwa kuusambaratisha utawala wote wa Riyadh.

  • Kiongozi Muadhamu: Ushiriki wa wananchi katika uchaguzi utadhihirisha adhama ya Iran mbele ya maadui

    Kiongozi Muadhamu: Ushiriki wa wananchi katika uchaguzi utadhihirisha adhama ya Iran mbele ya maadui

    May 07, 2017 07:59

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mahudhurio ya wananchi katika medani mbalimbali hususan katika uchaguzi kutakuwa ni kinga na mlinzi wa maslahi ya taifa la Iran na kuwa kutadhihirisha adhama ya Mfumo wa Kiislamu mbele ya macho ya maadui.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iran: Kuna udharura wa kufuatilia kwa karibu nyendo na harakati za adui

    Waziri wa Ulinzi wa Iran: Kuna udharura wa kufuatilia kwa karibu nyendo na harakati za adui

    May 06, 2017 22:05

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kuna udharura wa kuchunguza na kufuatilia kwa karibu nyendo na harakati zote za adui.

  • Saudi yaipongeza Marekani kwa kuendeleza sera za uhasama dhidi ya Iran

    Saudi yaipongeza Marekani kwa kuendeleza sera za uhasama dhidi ya Iran

    May 06, 2017 09:19

    Adel al Jubeir, Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia, katika safari yake ya hivi karibuni nchini Marekani, alizungumza na waandishi habari na kusema, safari ijayo ya rais Trump wa Marekani nchini Saudia itakuwa ya kihistoria huku akimpongeza rais huyo na serikali yake kwa misimamo yao mikali na ya uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Abdolreza Rahmani Fazli: Pakistan imeahidi kudumisha usalama katika mipaka yake na Iran

    Abdolreza Rahmani Fazli: Pakistan imeahidi kudumisha usalama katika mipaka yake na Iran

    May 06, 2017 09:02

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Pakistan imeahidi kudumisha amani na usalama katika mipaka yake na Iran kwa shabaha ya kuzuia harakati za makundi ya kigaidi katika maeneo hayo.

  • EU: Kufuta mapatano ya nyuklia ya Iran si kwa maslahi ya yeyote

    EU: Kufuta mapatano ya nyuklia ya Iran si kwa maslahi ya yeyote

    May 06, 2017 03:08

    Mkuu wa sera za kigeni katika Umoja wa Ulaya, Federica Mogherini, amesema kufuta mapatano ya nyuklia ya Iran ya mwaka 2015 si kwa maslahi ya yeyote, nukta ambayo amesema Marekani sasa imeidiriki.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS