-
Maonyesho ya Kimataifa ya Mafuta na Gesi yaanza Tehran
May 06, 2017 03:05Maonyesho ya 22 ya Kimataifa ya Mafuta, Gesi, Petrokemikali na Vituo vya Kusafisha Mafuta ya Iran yameanza leo Tehran huku kukiwa na washiriki 4,000 wa kitaifa na kimataifa.
-
Barua ya Iran kwa Umoja wa Mataifa; Saudi Arabia nembo ya ugaidi katika eneo
May 05, 2017 09:52Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa matamshi ya hivi karibuni ya Muhammad bin Salman, Naibu Mrithi wa Kiti cha Ufalme na Waziri wa Ulinzi wa Saudi Arabia dhidi ya Iran ni kinyume cha kipengee cha nne cha mada ya pili ya hati ya umoja huo na kwamba ni kukiri wazi nchi hiyo ya kifalme kuhusiana na uungaji mkono wake kwa vitendo vya mabavu na ugaidi.
-
Ayatullah Kashani atoa wito wa mshikamano na umoja wa kitaifa wakati wa uchaguzi wa Iran
May 05, 2017 09:39Kaimu Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran ametoa wito wa kudumishwa mshikamano na umoja wa kitaifa wakati huu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inapojiandaa kuelekea katika uchaguzi mkuu.
-
Masanduku ya kupigia kura ya uchaguzi wa rais wa Iran yatawekwa London na kwenye miji mingine sita ya UK
May 05, 2017 03:25Ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uingereza umetangaza kuwa ili kuwafanyia wepesi Wairani wanaoishi nchini humo wa kupiga kura za uchaguzi wa 12 wa kumchagua rais wa Iran, mbali na London, masanduku mengine ya kupigia kura yatawekwa kwenye miji mingine sita ya nchi hiyo.
-
FIBA yaruhusu mabinti wa Kiirani kushiriki katika mashindano ya kimataifa wakiwa na vazi la Hijabu
May 04, 2017 09:40Shirikisho la Mpira wa Kikapu Duniani (FIBA) limetangaza kuafiki pendekezo la Iran la kutaka wanawake wa Kiislamu na mabinti wenye Hijabu wa Kiirani kushiriki katika michezo ya kimataifa ya mpira wa kikapu (basketiboli).
-
Rais Rouhani atoa mkono wa pole kwa familia za waliofia mgodini Iran
May 04, 2017 03:11Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kwa familia za wahanga wa ajali iliyotokea mgodini kaskazini mashariki mwa nchi hapo jana.
-
Iran: Kauli ya Salman ni ithibati kuwa Saudia inaunga mkono ugaidi
May 03, 2017 23:33Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema matamshi yaliyotolewa hivi karibuni na Naibu Mrithi wa Kiti cha Ufalme ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi wa Saudi Arabia ni dhihirisho tosha kuwa Riyadh inaunga mkono ugaidi na utawala huo wa kifalme umejengeka katika misingi ya sera haribifu.
-
Alkhamisi 4 Mei, 2017
May 03, 2017 21:50Leo ni Alkhamisi 7 Shaaban 1438 Hijria, sawa na Mei 4, 2017.
-
Brig. Jenerali Dehqan: Nara za Marekani kuhusu usalama na haki za binadamu zinasikitisha
May 03, 2017 10:16Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria uiangiliaji wa Marekani huko Iraq, Syria na Yemen ambao umesababisha maafa makubwa na kusema kuwa, nara za Wamarekani katika suala la usalama na haki za binadamu zinasikitisha.
-
Saudia yaendeleza uhasama dhidi ya Iran, Muhammad Bin Salman adhihirisha chuki yake
May 03, 2017 00:07Naibu Mrithi wa Kiti cha Ufalme na Waziri wa Ulinzi wa utawala wa kifalme nchini Saudia, amebainisha chuki yake dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kusema wazi kwamba, Saudia haitakuwa na mahusiano mazuri na Tehran.