Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Jumatano tarehe 3 Mei, 2017

    Jumatano tarehe 3 Mei, 2017

    May 02, 2017 23:18

    Leo ni Jumatano tarehe 6 Rajab 1438 Hijria sawa na tarehe 3 Mei, 2017.

  • Baadhi ya picha za Kiongozi Muadhamu alipoonana na Wafanyakazi Mei Mosi

    Baadhi ya picha za Kiongozi Muadhamu alipoonana na Wafanyakazi Mei Mosi

    May 02, 2017 03:10

    Katika maadhimisho ya Mei Mosi, Siku ya Wafanyakazi Duniani, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei ameonana na wafanyakazi wa sekta mbalimbali wa Iran hapa mjini Tehran. Hizi hapa baadhi ya picha za mkutano huo.

  • Iran yataka ushirikiano baina ya nchi za Ghuba ya Uajemi

    Iran yataka ushirikiano baina ya nchi za Ghuba ya Uajemi

    Apr 30, 2017 23:16

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ametoa wito wa kuwepo urafiki miongoni mwa nchi za eneo la Ghuba ya Uajemi.

  • Marekani inajaribu kuvuruga ushirikiano wa Iran na benki za kimataifa

    Marekani inajaribu kuvuruga ushirikiano wa Iran na benki za kimataifa

    Apr 30, 2017 03:11

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Mohammad Javad Zarif ameilaani vikali serikali ya Marekani kwa kujaribu kuvuruga miamala baina ya Iran na mfumo wa kimataifa wa benki.

  • Jumapili 30

    Jumapili 30

    Apr 29, 2017 21:57

    Leo ni Jumapili tarehe tatu Shaban 1438 Hijria, sawa na tarehe 30 Aprili, 2017

  • Iran ina haki ya kujibu jinai ya magaidi walioua askari wa mpakani

    Iran ina haki ya kujibu jinai ya magaidi walioua askari wa mpakani

    Apr 29, 2017 03:08

    Waziri wa Ulinzi wa Iran Brigedia Jenerali Hussein Dehqan amesema Jamhuri ya Kiislamu ina haki ya kutoa jibu kali kwa jinai ya magaidi ambao waliwaua askari wa kulinda mpaka katika eneo la kusini mashariki katika mpaka wa Iran na Pakistan.

  • Iran, Syria, Russia zalaani shambulizi la Israel dhidi ya uwanja wa ndege Damascus

    Iran, Syria, Russia zalaani shambulizi la Israel dhidi ya uwanja wa ndege Damascus

    Apr 28, 2017 03:01

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Syria na Russia zimelaani vikali shambulizi la anga lililofanywa na jeshi la utawala haramu wa Israel dhidi ya uwanja wa ndege wa Damascus jana alfajiri.

  • Spika wa Bunge la Iran: Uchaguzi ni hatua kubwa katika njia ya kukabiliana na adui

    Spika wa Bunge la Iran: Uchaguzi ni hatua kubwa katika njia ya kukabiliana na adui

    Apr 27, 2017 22:37

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewataka wananchi kushiriki kwa wingi katika uchaguzi wa mwezi ujao na kusema kuwa, uchaguzi ni hatua moja kubwa katika njia ya kukabiliana na adui.

  • Ijumaa, tarehe 28 Aprili, 2017

    Ijumaa, tarehe 28 Aprili, 2017

    Apr 27, 2017 21:59

    Leo ni Ijumaa tarehe Mosi Shaaban 1438 Hijria sawa na Aprili 28, 2017.

  • Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu malengo ya uadui wa Marekani dhidi ya Iran na Waislamu

    Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu kuhusu malengo ya uadui wa Marekani dhidi ya Iran na Waislamu

    Apr 26, 2017 01:50

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, jana Jumanne alionana na viongozi wa Jamhuri ya Kiislamu na mabalozi wa nchi za Kiislamu waliopo hapa nchini Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya siku ya kubaathiwa na kupewa Utume Bwana wetu Muhammad SAW. Alisisitiza kwamba, Marekani na Wazayuni wanaifanyia uadui mkubwa Jamhuri ya Kiislamu kwa sababu Uislamu nchini Iran unaonekana kwa uwazi zaidi na ni kikwazo cha tamaa zao za kibeberu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS