-
Uchaguzi wa rais wa Iran kufanyika katika nchi 102 duniani
Apr 24, 2017 10:36Tume ya Uchaguzi ya Iran imetangaza kuwa, uchaguzi wa rais wa awamu ya 12 wa Iran utafanyika katika nchi 102 kote duniani.
-
Ulimwengu wa Spoti, Apr 24
Apr 24, 2017 05:30Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri wiki hii ndani na nje ya nchi....
-
Ushirikiano na uelewa wa pamoja, dawa ya kuangamiza ugaidi
Apr 24, 2017 03:27Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika makala iliyochapishwa kwenye gazeti la al Rai la Kuwait kwamba, njia pekee ya kupambana ipasavyo na ugaidi na misimamo ya kuchupa mipakai ni jamii ya kimataifa kufikia uelewa na ufahamu wa pamoja kwa ajili ya kuondoa tatizo hilo la dunia kote.
-
Spika: Kushiriki kwa wingi wananchi katika uchaguzi kutawezesha kushindwa njama za maadui
Apr 22, 2017 23:52Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema uchaguzi ni jambo hasasi na jema na akasisitiza kwamba kushiriki kwa wingi wananchi wa Iran katika uchaguzi kutapelekea kushindwa njama za maadui.
-
Netanyahu aeleza wasiwasi wake kuhusu uwezo na nguvu ya Iran
Apr 22, 2017 03:26Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndiyo tishio kubwa zaidi kwa Israel.
-
Russia yailaumu Marekani kwa kukwamisha uchunguzi, Khan Shaykhun
Apr 22, 2017 02:18Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameeleza kusikitishwa na upinzani wa Marekani dhidi ya pendekezo lililotolewa na Moscow na Tehran kwa ajili ya kufanyika uchunguzi wa shambulizi la silaha za kemikali katika eneo la Khan Shaykhun nchini Syria.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mahudhurio makubwa ya wananchi katika uchaguzi yatadhihirisha nguvu ya Iran
Apr 21, 2017 11:53Khatibu wa Swala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa kushiriki kwa wingi wananchi wa Iran katika uchaguzi ujao, kutaonyesha nguvu na uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran yalaani shambulio la kigaidi na umwagaji damu mjini Paris
Apr 21, 2017 11:34Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani shambulio la ufyatuaji risasi lililofanywa na kundi la kigaidi la Daesh mjini Paris, Ufaransa siku chache kabla ya kufanyika uchaguzi wa Rais nchini humo na imetoa wito kwa nchi mbalimbali kushikamana na kusaidia juhudi za kutokomeza tishio la ugaidi kwa azma thabiti.
-
Zarif: Marekani imekiuka makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Apr 21, 2017 11:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kwamba Marekani haijatekeleza majukumu yake mkabala na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Hatua kwa hatua kuelekea kwenye uchaguzi wa rais wa Iran, majina ya wagombea yatangazwa
Apr 21, 2017 09:57Baraza la Kulinda Katiba ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Alkhamisi ya jana lilitangaza majina ya watu sita waliotimiza masharti ya kugombea kiti cha Rais katika uchaguzi ujao na kuyatuma kwa Wizara ya Mambo ya Ndani.