-
Kampeni za uchaguzi wa rais Iran zaanza
Apr 21, 2017 03:10Baada ya mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran, kutangaza majina ya wagombea sita wa uchaguzi wa 12 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kampeni zimeanza rasmi leo Ijumaa.
-
Majina ya wagombea urais Iran yatajwa, kampeni za uchaguzi zaanza
Apr 20, 2017 23:45Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran, jana usiku alitangaza majina ya wagombea sita wa uchaguzi wa 12 wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Mara baada ya kutangaza majina hayo alisema kuwa, kwa mujibu wa kifungu cha 66 cha sheria ya uchaguzi ya Iran, kampeni za uchaguzi wa 12 wa Rais zimeruhusiwa kuanza.
-
Mashindano ya Kimataifa ya Qur'ani ya Walemavu wa Macho yaanza Tehran
Apr 18, 2017 22:00Duru ya pili ya Mashindano ya Kimataifa ya Walemavu wa Macho yanaanza leo mjini Tehran yakiwashirikisha wawakilishi wa nchi 23.
-
Siku ya jeshi; dhihirisho la nguvu na uwezo wa kujilinda Iran
Apr 18, 2017 06:28Leo tarehe 18 Aprili inasadifiana na Siku ya Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran. Leo jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeyatumia maadhimisho haya kuonyesha uwezo wake unaoongezeka kila siku ambao kimsingi ni ngome imara ya kukabiliana na wavamizi.
-
Rouhani: Baadhi ya majeshi ya dunia yanaunga mkono ugaidi na mapinduzi ya kijeshi
Apr 18, 2017 03:41Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jina la baadhi ya majeshi duniani linakumbushia uingiliaji wa mambo ya ndani ya nchi nyingine, mauaji ya kimbari, kuunga mkono ugaidi, kufanya mapinduzi ya kijeshi na kutoheshimu matakwa ya wananchi wa nchi hizo, lakini jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran daima linatajwa kwa wema.
-
Kikao cha wataalamu wa amani ya Syria chaanza mjini Tehran
Apr 18, 2017 03:41Kikao cha wataalamu wa masuala ya amani na utulivu wa Syria ambacho ni muendelezo wa mazungumzo ya amani ya Astana Kazakhstan, kimeanza leo Jumanne hapa mjini Tehran.
-
Pendekezo la Iran la kupatikana msaada kwa ajili ya usalama na amani nchini Afghanistan
Apr 18, 2017 02:56Ijumaa iliyopita na katika kikao cha amani kwa ajili ya Afghanistan kilichofanyika mjini Moscow, Russia Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya Asia na Oceania sambamba na kuashiria juu ya changamoto na matatizo yanayoendelea nchini humo alisisitizia udharura wa kuwepo azma ya nchi zote kwa ajili ya kupambana na ugaidi.
-
Ulimwengu wa Spoti, Apr 17
Apr 17, 2017 02:31Karibu tukupashe kwa kina bingwa wa Ligi Kuu ya Soka Iran, matokeo ya Kombe la CAF na msimamo wa Ligi Kuu ya Soka Uingereza........
-
Zoezi la kuwachuja wagombea urais Iran laanza
Apr 16, 2017 11:33Zoezi la kuwachuja waliojiandikisha kugombea awamu ya 12 ya urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limeanza leo Jumapili na matokeo yanatazamiwa kutangazwa katika kipindi cha siku tano zijazo.
-
Iran: Jeshi liko tayari kukabiliana na chokochoko zozote za maadui
Apr 16, 2017 11:24Kamanda Mkuu wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Meja Jenerali Ataollah Salehi amesema jeshi limejiweka tayari kukabiliana na chokochoko zozote zile za maadui.