-
40 wapoteza maisha katika mafuriko Iran, Kiongozi Muadhamu atoa kauli
Apr 16, 2017 02:53Makumi ya watu wamepoteza maisha katika janga la mafuriko kwenye mikoa ya kaskazini magharibi mwa Iran.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi dhidi ya mabasi huko Aleppo, Syria
Apr 16, 2017 00:13Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya mabomu dhidi ya mabasi yaliyokuwa yanawahamisha watu kutoka vijiji ambavyo aghalabu ya wakazi wake ni Waislamu wa madhehebu ya Shia huko katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Iran kuanza kuunda ndege kubwa za abiria
Apr 15, 2017 09:34Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema, mafanikio ya nchi hii katika kuunda ndege ya kivita ya Qaher 313 na kutoa mafunzo ya Kauthar 88 ni utangulizi wa Iran kuunda ndege kubwa za abiria na mizigo.
-
Iran na Kenya kuimarisha uhusiano wa kiuchumi
Apr 15, 2017 09:07Balozi wa Iran nchini Kenya amesisitiza kuhusu kuimarishwa uhusiano wa kiuchumi baina ya Tehran na Nairobi.
-
Kongamano la Kimataifa la Haki za Binadamu lafunguliwa Tehran
Apr 15, 2017 03:01Kongamano la Kimataifa la Kiislamu kuhusu Haki za Binadamu linafanyika hapa nchini Iran katika Chuo Kikuu cha Tehran.
-
Ayatullah Siddiqi: Hujuma ya Marekani huko Syria, ni kinyume cha sheria za kimataifa
Apr 14, 2017 10:35Khatibu wa Sala ya Ijumaa katika mji wa Tehran amesema kuwa, shambulizi la Marekani nchini Syria siku ya Ijumaa iliyopita, linakinzana na sheria zote za kimataifa.
-
Iran yataka kufanyike uchunguzi wa kimataifa kuhusu mashambulizi ya silaha za kemikali Syria
Apr 14, 2017 00:03Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali (OPCW) ametoa wito wa kuundwa timu ya kimataifa isiyopendelea upande wowote itakayochunguza matukio ya hivi karibuni nchini Syria na jinsi silaha za kemikali zilivyoingizwa nchini humo.
-
Taarifa ya G7, madai ya Magharibi kuhusu uwezo wa makombora ya Iran
Apr 13, 2017 05:49Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi za wanachama katika G7 wametoa taarifa mwishoni mwa kikao chao kilichofanyika nchini Italia wakiendeleza sera za kueneza propaganda chafu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran: Makombora yetu hayana uhusiano wowote na JCPOA
Apr 13, 2017 03:13Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Iran amesema hatua ya Jamhuri ya Kiislamu kufanyia majaribio makombora yake haina mfungamano wowote na makubaliano ya nyuklia ya Vienna.
-
Wanasayansi Iran waunda roboti la kufunza lugha ya ishara
Apr 12, 2017 08:29Hamjambo wapenzi wasikilizaji na karibuni kujiunga nami katika makala nyingine yenye kuangazia maendeleo ya Iran katika sekta za sayansi, teknolojia na tiba nchini Iran na maeneo mengine duniani.