Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran, Russia na Syria zazungumzia mashambulizi ya US dhidi ya Damascus

    Iran, Russia na Syria zazungumzia mashambulizi ya US dhidi ya Damascus

    Apr 12, 2017 03:15

    Mawaziri wa ulinzi wa Iran, Russia na Syria wamefanya mazungumzo ya simu kuhusu mashambulizi ya makombora ya Marekani dhidi ya kituo cha kijeshi cha Syria, huku pande tatu hizo zikisisitizia umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wao katika vita dhidi ya ugaidi.

  • Kundi la G7 lapokea vizuri juhudi za Iran za kutafuta suluhisho la kisiasa la migogoro

    Kundi la G7 lapokea vizuri juhudi za Iran za kutafuta suluhisho la kisiasa la migogoro

    Apr 11, 2017 23:25

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi saba za viwanda duniani maarufu kwa jina la kundi la G7 wamepokea vizuri juhudi za Iran za kuitafutia utatuzi wa kisiasa migogoro wa Mashariki ya Kati

  • Zarif: Uchunguzi wa kimataifa ufanyike kuhusu mashambulizi ya silaha za kemikali Khan Sheikhoun

    Zarif: Uchunguzi wa kimataifa ufanyike kuhusu mashambulizi ya silaha za kemikali Khan Sheikhoun

    Apr 11, 2017 23:23

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo udharura wa kuundwa tume ya kimataifa ya kufanyika uchunguzi kuhusu mashambulizi ya silaha za kemikali yaliyolenga eneo la Khan Sheikhoun nchini Syria.

  • Rouhani: Ushiriki mkubwa katika uchaguzi wa Iran utatuma ujumbe wa umoja na izza kwa ulimwengu

    Rouhani: Ushiriki mkubwa katika uchaguzi wa Iran utatuma ujumbe wa umoja na izza kwa ulimwengu

    Apr 11, 2017 12:07

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema ushiriki mkubwa wa wananchi katika uchaguzi mkuu unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao utawadhihirishia walimwengu namna Jamhuri ya Kiislamu ni taifa lenye izza, umoja na mshikamano.

  • Iran haina wasi wasi kuhusu ibada ya Hija mwaka huu

    Iran haina wasi wasi kuhusu ibada ya Hija mwaka huu

    Apr 11, 2017 03:13

    Mwakilishi wa Faqihi Mtawala katika masuala ya Hija amesema, kufuatia mapatano yaliyotiwa saini baina ya Iran na Saudi Arabia, hakuna wasi wasi katika utekelezwaji ibada ya Hija mwaka huu kwa mahujaji wa Iran.

  • Iran kuandaa uchaguzi wa amani na wenye ushiriki mkubwa wa wananchi

    Iran kuandaa uchaguzi wa amani na wenye ushiriki mkubwa wa wananchi

    Apr 11, 2017 03:12

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Iran amesema uchaguzi ujao wa rais na mabaraza ya Kiislamu ya miji na vijiji utakuwa wa amani, salama, wa kisheria na wenye ushiriki mkubwa wa wananchi.

  • Wagombea urais Iran kuanza kujiandikisha leo

    Wagombea urais Iran kuanza kujiandikisha leo

    Apr 10, 2017 23:18

    Mkuu wa Tume ya Uchaguzi ya Iran amesema kuwa, wagombea wa duru ya 12 ya urais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wataanza kujiandikisha rasmi leo Jumanne.

  • Rais Rouhani: Shambulio la Marekani Syria lilikuwa kwa ajili ya kufidia kushindwa kwa magaidi

    Rais Rouhani: Shambulio la Marekani Syria lilikuwa kwa ajili ya kufidia kushindwa kwa magaidi

    Apr 10, 2017 10:27

    Rais Hassan Rouhani amelaani shambulio la makombora lililofanywa na Marekani nchini Syria na kueleza kuwa: Shambulio hilo limefanywa kufidia kushindwa kwa magaidi nchini Syria na limewahamasisha magaidi hao kuendelea kufanya jinai zao nchini humo.

  • Iran na Oman zaanza maneva ya uokoaji katika lango la Hormuz

    Iran na Oman zaanza maneva ya uokoaji katika lango la Hormuz

    Apr 10, 2017 09:11

    Vikosi vya majini vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman vimeanza maneva ya pamoja ya utafutaji na uokoaji katika maeneo ya mashariki ya Lango la Hormuz na katika maeneo ya kaskazini mwa Bahari ya Hindi.

  • Ulimwengu wa Spoti, Apr 10

    Ulimwengu wa Spoti, Apr 10

    Apr 10, 2017 03:35

    Ufuatao ni mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti ndani ya siku saba zilizopita, kiaifa na kimataifa......

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS