-
Iran yalaani mashambulizi ya kigaidi dhidi ya Makanisa Misri
Apr 10, 2017 03:06Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali mashambulizi ya kigaidi dhidi ya makanisa mawili nchini Misri hapo jana, ambapo makumi ya watu waliuawa na wengine wengi kujeruhiwa.
-
Rouhani na Putin walaani vikali mashambulizi ya Marekani dhidi ya Syria
Apr 09, 2017 23:29Rais Hassan Rouhani wa Iran na mwenzake wa Russia Vladimir Putin wamelaani vikali hatua ya Marekani ya kukishambulia kituo cha kijeshi cha Syria kwa makombora na kusema kuwa kitendo hicho kilifanyika ili kuyapa motisha na kuyaunga mkono magenge ya kigaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Marekani imefeli katika njama za chuki dhidi ya Iran
Apr 09, 2017 23:09Njama za kila namna za Marekani katika kueneza chuki dhidi ya Iran zimefeli na hazijaweza kubadilisha fikra za waliowengi nchini humo.
-
Mazungumzo ya Simu ya Marais Rouhani wa Iran na Assad wa Syria
Apr 09, 2017 09:36Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine amelani uvamizi wa Marekani katika nchi huru ya Syria na kuitaja hatua hiyo kuwa ukiukwaji wa sheria na mikataba ya Umoja wa Mataifa.
-
Wasomi wengi duniani wanaamini Iran ina uwezo mkubwa wa kijeshi, kisiasa
Apr 09, 2017 09:42Aghalabu ya wasomi wa nchi mbali mbali duniani wanaamini kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo mkubwa wa kijeshi na ina taathira katika uga wa kimataifa.
-
Rouhani: Teknolojia ya Nyuklia ni dharura kwa Iran
Apr 09, 2017 09:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Teknolojia ya nyuklia ni dharura kwa taifa la Iran na sisitizo la Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kuhusu kuendelelezwa hii teknolojia ni sisitizo sahihi."
-
Mafanikio mapya ya nyuklia ya Iran yazinduliwa na Rais Rouhani
Apr 09, 2017 02:57Mafanikio ya karibuni ya nyuklia ya Iran yamezinduliwa na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Siku ya Taifa ya Teknolojia ya Nyuklia.
-
Zarif: Shambulizi la Marekani dhidi ya Syria ni uzushi hatari sana
Apr 08, 2017 22:10Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa shambulizi la makombora lililofanywa na Marekani dhidi ya Syria ni kinyume na sheria za kimataifa na uzushi hatari sana.
-
Jumapili, Aprili 9, 2017
Apr 08, 2017 22:07Leo ni Jumapili tarehe 11 Rajab 1438 Hijria sawa na tarehe 9 Aprili 2017 Miladia.
-
Rouhani: Marekani inajifanya polisi na jaji wa dunia
Apr 08, 2017 03:23Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa mara nyingine tena amelaani shambulio la Marekani katika kambi ya jeshi la anga nchini Syria na kusema kuwa, Washington inajifanya polisi na jaji wa dunia.