Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Rouhani: Hujuma ya Marekani Syria imeimarisha magaidi

    Rouhani: Hujuma ya Marekani Syria imeimarisha magaidi

    Apr 07, 2017 23:30

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria hujuma ya Marekani nchini Syria na kutoa wito kwa walimwengu kupinga sera kama hizo na kuongeza kuwa, sera hizo za kivita za Marekani zitakuwa na matokeo mabaya na haraibifu kwa eneo na dunia nzima.

  • Zarif: Marekani inashirikiana na al Qaida na Daesh katika vita huko Yemen na Syria

    Zarif: Marekani inashirikiana na al Qaida na Daesh katika vita huko Yemen na Syria

    Apr 07, 2017 23:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa haijapita miongo miwili tangu kujiri tukio la Septemba 11 mwaka 2001 huko Marekani ambapo tunashuhudia tena wanajeshi wa nchi hiyo wakiendesha vita huko Yemen na Syria kwa kushirikiana na magaidi wa al Qaida na Daesh. Muhammad Javad Zarif ameyasema hayo katika radiamali yake kwa mashambulizi ya makombora ya cruz yaliyofanywa na Marekani jana asubuhi katika kituo cha anga cha al Shayrat mashariki mwa Homs huko Syria.

  • Iran, Russia zalaani hujuma ya US dhidi ya Syria, Israel na Uturuki zaunga mkono

    Iran, Russia zalaani hujuma ya US dhidi ya Syria, Israel na Uturuki zaunga mkono

    Apr 07, 2017 02:09

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya Marekani kuushambulia kwa makombora mkoa wa Homs ulioko magharibi wa Syria, kwa kisingizio cha 'kuiadhibu' Syria kwa shambulio la silaha za kemikali inayodai lilifanywa na serikali ya Damascus katika mji wa Khan Sheikhoun.

  • Theresa May; mdau wa mchezo mchafu wa majungu ya kueneza hofu na chuki dhidi ya Iran

    Theresa May; mdau wa mchezo mchafu wa majungu ya kueneza hofu na chuki dhidi ya Iran

    Apr 07, 2017 01:42

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Theresa May amethibitisha kuwa mdau mwenza wa nchi hiyo yaani Marekani haina ilichoizidi London katika upikaji majungu dhidi ya Iran. Katika siku chache zilizopita viongozi wa Marekani wamesikika wakipayuka kuzungumzia kile walichodai kuwa jitihada wanazofanya za kuanzisha muungano wa kieneo baina ya nchi hiyo na tawala za Kiarabu dhidi ya Iran.

  • Waziri wa Mambo ya Ndani: Iran ni miongoni mwa nchi zenye amani zaidi duniani

    Waziri wa Mambo ya Ndani: Iran ni miongoni mwa nchi zenye amani zaidi duniani

    Apr 06, 2017 23:59

    Waziri wa Mambo ya Ndani Abdoreza Rahman Fazli amesema taifa la Iran halitopiga magoti mbele ya ubabe, uchu na utumiaji mabavu wa uistikbari wa dunia na kubainisha kwamba marafiki na maadui wanakiri kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni miongoni mwa nchi zenye amani zaidi duniani.

  • Qassemi: Iran inalaaani matumizi ya aina yoyote ya silaha za kemikali

    Qassemi: Iran inalaaani matumizi ya aina yoyote ya silaha za kemikali

    Apr 05, 2017 11:41

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Tehran inalaani matumizi ya aina yoyote ya silaha za kemikali bila ya kujali waliofanya na aina ya wahanga wa mashambulio hayo.

  • Meja Jenerali Baqeri: Iran haitetereshwi na vita vya kisaikolojia vya Marekani

    Meja Jenerali Baqeri: Iran haitetereshwi na vita vya kisaikolojia vya Marekani

    Apr 04, 2017 23:40

    Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili halibabaishwi na vita vya kisaikolojia vya Marekani na waitifaki wake.

  • Rais Rouhani: Kutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa

    Rais Rouhani: Kutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa

    Apr 04, 2017 11:46

    Rais Hassan Rouhani amelaani shambulio la kigaidi la mripuko wa bomu uliotokea kwenye treni ya chini ya ardhi katika mji wa St. Petersburg nchini Russia na kusisitiza kuwa kuutokomeza ugaidi kunahitaji juhudi za jamii ya kimataifa.

  • Ripoti: Trump, UAE wanakula njama ya kuitenganisha Russia na Iran

    Ripoti: Trump, UAE wanakula njama ya kuitenganisha Russia na Iran

    Apr 04, 2017 11:34

    Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) uliandaa mkutano wa siri mapema mwaka huu kati ya mwakilishi wa rais mteule wakati huo wa Marekani Donald Trump na mpambe wa Rais Vladimir Putin wa Russia ili kufanikisha diplomasia ya mlango wa nyuma baina ya pande mbili.

  • Rouhani: Moja ya malengo ya uchumi wa muqawama ni kutotetereshwa kiuchumi

    Rouhani: Moja ya malengo ya uchumi wa muqawama ni kutotetereshwa kiuchumi

    Apr 03, 2017 11:36

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kusimama imara na kutotetershwa na mashinikizo ya nchi ajinabi ni moja ya malengo ya uchumi wa muqawama.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS