Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Spoti Wiki Hii, Apr 3

    Spoti Wiki Hii, Apr 3

    Apr 03, 2017 02:29

    Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya spoti kitaifa na kimataifa ndani ya siku saba zilizopita.......

  • Iraq yasisitizia umuhimu wa kuwa na uhusiano mzuri na Iran

    Iraq yasisitizia umuhimu wa kuwa na uhusiano mzuri na Iran

    Apr 02, 2017 03:39

    Spika wa Bunge la Iraq amesema kuna haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili kati ya nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Larijani: Pentagon, CIA ni wahusika wakuu wa harakati za kigaidi

    Larijani: Pentagon, CIA ni wahusika wakuu wa harakati za kigaidi

    Apr 01, 2017 23:16

    Spika wa Bunge la Iran Ali Larijani amelaani uharibifu wa wazi unaofanywa na Marekani Mashariki ya Kati na kusema Washington inahusika na harakati zote za kigaidi.

  • Iran yalaani shambulizi ya kigaidi karibu na Husainiya ya Imambargah

    Iran yalaani shambulizi ya kigaidi karibu na Husainiya ya Imambargah

    Apr 01, 2017 03:12

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani shambulizi la kigaidi lililotokea katika eneo la Parachinar na kuua makumi ya watu waliokuwa wamekwenda kutelekeza ibada ya Swala ya Ijumaa.

  • Rais wa Tunisia: Iran ndiyo tegemeo pekee kwa ajili ya kukabiliana na Israel

    Rais wa Tunisia: Iran ndiyo tegemeo pekee kwa ajili ya kukabiliana na Israel

    Mar 31, 2017 23:57

    Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia amesema kuwa Iran ndio tegemeo pekee kwa ajili ya kukabiliana na Israel.

  • Ayatullah Khatami: Kuilinda Jamhuri ya Kiislamu kunahitaji maandalizi ya kisiasa, kiuchumi na kijeshi

    Ayatullah Khatami: Kuilinda Jamhuri ya Kiislamu kunahitaji maandalizi ya kisiasa, kiuchumi na kijeshi

    Mar 31, 2017 10:30

    Khatibu wa muda wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuilinda na kuihami Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kunahitajia maandalizi makubwa ya kisiasa, kiuchumi na kijeshi.

  • Russia: Iran ni mshirika wa aina yake katika vita dhidi ya ugaidi

    Russia: Iran ni mshirika wa aina yake katika vita dhidi ya ugaidi

    Mar 31, 2017 10:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amepuuzilia mbali madai bandia kuwa Iran inaunga mkono ugaidi na kusisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ni mshirika mkubwa katika vita dhidi ya magenge ya kigaidi nchini Syria.

  • Dahqan: Askari wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi ni maharamia wajinga

    Dahqan: Askari wa Marekani katika Ghuba ya Uajemi ni maharamia wajinga

    Mar 30, 2017 10:53

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu madai ya uongo yaliyotolewa na jeshi la Marekani akisema kuwa askari wa nchi hiyo walioko katika eneo la Ghuba ya Uajemi ni maharamia wajinga na majahili.

  • Iran, Algeria kutumia tamaduni kukabili utakfiri na misimamo mikali

    Iran, Algeria kutumia tamaduni kukabili utakfiri na misimamo mikali

    Mar 28, 2017 11:51

    Waziri wa Utamaduni wa Algeria amesema harakati za kitamaduni zina nafasi chanya katika vita dhidi ya magenge ya utakfiri na yenye misimamo ya kufurutu ada.

  • Rouhani: Ushirikiano wa Iran, Russia unaweza kuleta usalama kieneo na kimataifa

    Rouhani: Ushirikiano wa Iran, Russia unaweza kuleta usalama kieneo na kimataifa

    Mar 27, 2017 23:21

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema uhusiano wa Tehran na Moscow unazidi kustawi na kuongeza kuwa, Iran inakaribisha kuimarishwa uhusiano wa kina na nchi jirani ikiwa ni pamoja na Russia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS