-
Ulimwengu wa Michezo, Machi 27
Mar 27, 2017 06:36Huu ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, ndani na nje ya nchi...........
-
Iran: Jamii ya kimataifa ikomeshe mauaji ya raia nchini Yemen
Mar 27, 2017 03:28Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeitaka jamii ya kimataifa iingilie kati na kukomesha mara moja mauaji dhidi ya raia wasio na hatia Yemen yanayofanywa na utawala wa Saudi Arabia.
-
Balozi: Kiongozi Muadhamu, Rouhani wanaupa umuhimu uhusiano wa Iran na Russia
Mar 26, 2017 03:44Balozi wa Iran mjini Moscow amesema Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Rais Hassan Rouhani wanaupa umuhimu mkubwa na wa kipekee uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Russia na wanataka kuuona ukiimarika.
-
Ombi la UN kwa Iran, Russia, na Uturuki kuhusu Syria
Mar 26, 2017 03:43Mjumbe Maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria kwa mara nyingine tena amezitaka Iran, Russia na Uturuki kufanya juhudi za kulinda usitishaji vita huko Syria.
-
Iran: Marekani ichunge mienendo yake katika Ghuba ya Uajemi
Mar 25, 2017 23:10Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Kiislamu limeionya vikali Marekani na kuitaka iwe makini katika harakati zinazofanywa na vikosi vyake vya majini katika Ghuba ya Uajemi.
-
Jumapili, Machi 26, 2017
Mar 25, 2017 22:03Leo ni Jumapili tarehe 27 Jamadu th-Thani mwaka 1438 Hijria sawa na tarehe 26 Machi 2017 Miladia.
-
Nowruz Katika Utamaduni na Mafundisho ya Kiislamu
Mar 25, 2017 07:11Tuko katika siku za awali za mwaka mpya wa Kiirani wa 1396 Hijria Shamsia ambao ulianza Machi 21. Siku za kuanza mwaka mpya wa Kiirani hujulikana kama Nowruz au Nairuzi na huadhimishwa kwa furaha na shangwe kote Iran na nchi zinazozungumza Kifarsi pamoja na mataifa yote ambayo kwa njia moja au nyingine yana uhusiano na ustaarabu na utamaduni wa Iran.
-
Kongresi ya Marekani yajiandaa kuibana zaidi Iran kwa vikwazo vipya
Mar 24, 2017 02:50Maseneta wa Bunge la Kongresi la Marekani wameandaa muswada wa sheria inayopania kuiongezea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran eti kwa kufanyia majaribio makombora yake ya balistiki.
-
Iran kuanza kuziuzia nchi za Ulaya mapipa laki 8 ya mafuta kwa siku
Mar 20, 2017 04:32Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inatazamiwa kuongeza kiwango cha mauzo yake ya mafuta kwa nchi za Umoja wa Ulaya EU.
-
Afrika Kusini yapania kuiuzia Iran mfumo wa makombora
Mar 20, 2017 03:58Mtandao wa habari wa mybroadband umeripoti kuwa Afrika Kusini inataka kuiuzia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mfumo wa makombora ya ardhini hadi angani.