-
Iran yalaani hujuma ya Marekani katika msikiti nchini Syria
Mar 19, 2017 00:20Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya ndege za kivita za Marekani kuushambulia kwa mabomu msikiti mmoja katika kitongoji kimoja cha mji wa Halab (Aleppo) nchini Syria.
-
Iran yakaribishwa kuwekeza katika usindikaji bidhaa Tanzania
Mar 18, 2017 12:20Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imeikaribisha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwekeza katika sekta ya viwanda nchini humo, hususan katika viwanda vya kusindika bidhaa.
-
Radiamali ya Iran kwa madai ya 'kipuuzi' ya Mwana Mfalme wa Saudia alipokutana na Trump
Mar 18, 2017 04:04Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekosoa vikali madai ya kipropaganda ya Riyadh na kuyataja kama ya kipuuzi na yasiyokuwa na msingi matamshi dhidi ya Tehran yaliyotolewa na Mwana Mfalme wa Saudi Arabia alipokutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump katika Ikulu ya White House hivi karibuni.
-
Wairani kufanya ibada ya Hija mwaka huu baada ya Saudia kukubali masharti ya Tehran
Mar 17, 2017 23:20Maelfu ya raia wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanatazamiwa kwenda Saudi Arabia kwa ajili ya kufanya ibada ya Hija baada ya maafisa wa seriakali ya Saudi Arabia kukubali masharti ya kudhamini mahitaji ya mahujaji wa Iran.
-
Qassemi: Udiplomasia wa Saudi Arabia umewasha moto wa machafuko
Mar 17, 2017 12:56Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amejibu matamashi yaliyotolewa na mwana mfalme ambaye pia ni Waziri wa Ulinzi wa Saudi Arabia huko Marekani dhidi ya Iran akisema kuwa udiplomasia wa njozi na uliojaa uwongo wa viongozi wa Saudia umeshadidisha moto wa machafuko na ukosefu wa amani katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Iran ni muungaji mkono wa umoja wa umma wa Kiislamu
Mar 17, 2017 00:29Mkuu wa Taasisi ya Wakfu na Mambo ya Kheri ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, siasa kuu za Tehran ni kupigania umoja na mshikamano katika umma wa Kiislamu.
-
Iran na Zimbabwe kuendeleza ushirikiano wa kibiashara
Mar 15, 2017 13:04Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mji mkuu wa Zimbabwe, Harare, ameonana na mkuu mtendaji wa taasisi ya ustawi wa kibiashara ya nchi hiyo na pande mbili zimesisitizia haja ya kuimarishwa ushirikiano wa kiuchumi baina yao.
-
Jaberi Ansari: Mazungumzo ya Astana kuhusu Syria yanaendelea kupiga hatua
Mar 14, 2017 22:58Mkuu wa ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mazungumzo ya Astana kuhusu mgogoro wa Syria amesema mazungumzo hayo yanaendelea kupiga hatua.
-
Mazungumzo ya Astana, kuendelea juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria
Mar 14, 2017 09:17Ujumbe wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ukiongozwa na Hussain Jabir Ansari, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje uliwasili asubuhi ya Jumatatu ya jana mjini Astana, mji mkuu wa Kazakhstan kwa ajili ya kushiriki mazungumzo ya amani ya Syria yaliyopewa jina la Astana 3.
-
Kamanda Salami: Iran ndio nchi yenye amani zaidi eneo la Mashariki ya Kati
Mar 14, 2017 01:01Naibu wa Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (SEPAH) amesema kuwa, licha ya nchi jirani na Iran ya Kiislamu kuwa na vita, lakini nchi hii imeendelea kuwa na usalama zaidi katika eneo zima la Mashariki ya Kati.