Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: Tutaendelea kuiunga mkono Lebanon kwa hali na mali

    Iran: Tutaendelea kuiunga mkono Lebanon kwa hali na mali

    Jun 05, 2025 03:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi amesisitiza utayarifu wa Jamhuri ya Kiislamu kuimarisha ushirikiano na Lebanon, alipokutana na Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah, Sheikh Naim Qassem mjini Beirut.

  • Trump na matakwa ya kupindukia kwa Iran: Je, Washington inataka kufikia makubaliano au kutwisha matakwa?

    Trump na matakwa ya kupindukia kwa Iran: Je, Washington inataka kufikia makubaliano au kutwisha matakwa?

    Jun 05, 2025 00:45

    Rais Donald Trump wa Marekani amekariri matakwa ya kupindukia mipaka ya Washington kuhusu mpango wa amani wa nyuklia wa Iran kwa ajili ya kufikiwa mapatano ya pande mbili.

  • Iran: Ripoti ya IAEA imetolewa kwa mujibu wa matashi ya kisiasa

    Iran: Ripoti ya IAEA imetolewa kwa mujibu wa matashi ya kisiasa

    Jun 01, 2025 03:49

    Iran imetoa wito kwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuakisi hali halisi kuhusu mpango wa amani wa nishati ya nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu na kujiepusha na matashi ya kisiasa kwenye ufuatiliaji wake wa shughuli za nyuklia za nchi hii.

  • Iran: Hatutakubali utwishaji wa Magharibi; tutaendelea kurutubisha urani

    Iran: Hatutakubali utwishaji wa Magharibi; tutaendelea kurutubisha urani

    May 31, 2025 08:06

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amepinga vikali mashinikizo ya nchi za Magharibi ya kuitaka Jamhuri ya Kiislamu iache kurutubisha madini ya urani, akiyataja mashinikizo hayo kuwa ni juhudi za kulitwisha taifa la Iran matakwa yao.

  • Maandamano ya kuwaunga mkono Wagaza yafanyika Iran, Yemen

    Maandamano ya kuwaunga mkono Wagaza yafanyika Iran, Yemen

    May 30, 2025 22:53

    Maelfu ya watu walimiminika barabarani na mitaani katika miji yote ya Iran baada ya Swala ya Ijumaa kushiriki maandamano ya kitaifa ya "Ijumaa ya Ghadhabu", wakitangaza uungaji mkono wao usioyumba kwa Wapalestina wa Gaza, na kulaani mauaji ya kimbari ya Israel katika eneo hilo lililozingirwa.

  • Onyo la Trump kwa Netanyahu baada ya kutishia kuishambulia Iran

    Onyo la Trump kwa Netanyahu baada ya kutishia kuishambulia Iran

    May 29, 2025 02:47

    Rais wa Marekani, Donald Trump ameripotiwa kuvutana na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu katika mazungumzo yao ya simu, baada ya nduli huyo wa vita wa utawala wa Kizayuni kutishia kuchukua hatua za kijeshi dhidi ya vituo vya nyuklia vya Iran, na hivyo kuhatarisha mazungumzo ya kidiplomasia yanayoendelea kati ya Tehran na Washington.

  • Iran: Hatuna cha kujadiliana na Uingereza iwapo haitaki turutubishe urani

    Iran: Hatuna cha kujadiliana na Uingereza iwapo haitaki turutubishe urani

    May 28, 2025 03:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi ameonya kwamba, hakutakuwa na msingi zaidi wa mazungumzo kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Uingereza ikiwa London inaitaka Tehran isitishe kabisa shughuli zake za amani za kurutubisha urani, ikifuata kibubusa msimamo wa mshirika wake wa Magharibi, Marekani.

  • Iran na Oman zatiliana saini hati 18 za mikataba ya ushirikiano

    Iran na Oman zatiliana saini hati 18 za mikataba ya ushirikiano

    May 27, 2025 23:58

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Oman zimetiliana saini hati 18 za mikataba ya ushirikiano katika nyanja mbalimbali.

  • Pezeshkian: Iran inaunga mkono usitishaji vita baina ya India-Pakistan

    Pezeshkian: Iran inaunga mkono usitishaji vita baina ya India-Pakistan

    May 27, 2025 03:09

    Rais Masoud Pezeshkian wa Iran kwa mara nyingine tena amesisitiza kuwa, Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono usitishaji vita wa kudumu kati ya India na Pakistan, akitoa mwito wa kufanyika mazungumzo kati ya nchi za kikanda ili kutatua mizozo iliyopo na kuimarisha amani.

  • Kwa nini Trump ana vigezo vya kibaguzi kuhusu suala la nyuklia?

    Kwa nini Trump ana vigezo vya kibaguzi kuhusu suala la nyuklia?

    May 25, 2025 22:44

    Siku ya Ijumaa, Mei 23, Rais Donald Trump wa Marekani alitia saini dikri mpya kadhaa zinazolenga kuongeza uwezo wa uzalishaji wa nishati ya nyuklia, kupunguza kanuni za udhibiti na kupanua sekta ya urutubishaji wa madini ya urani nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS