-
Iran yaitaka Vatican ichukue hatua za haraka kukomesha mauaji ya kimbari Gaza
May 24, 2025 03:40Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Abbas Araghchi, katika mkutano na maafisa wa Makao Makuu ya Kanisa Katoliki Duniani, Vatican huko mjini Rome, ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za haraka za kimataifa kukomesha uhalifu unaoendelea kufanyika Gaza, na kuhakikisha misaada ya kibinadamu inafika katika eneo hilo lililozingirwa.
-
Kamandi ya Majeshi la Iran: Uchokozi wowote utakabiliwa na jibu kali
May 23, 2025 23:04Vikosi vya Jeshi la Iran vimetoa taarifa vikisisitiza kuwa, vitatoa majibu thabiti dhidi ya vitisho vya utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani.
-
UNHCR yaipongeza Iran kwa kuhudumia vyema wakimbizi
May 23, 2025 23:04Kamishna Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa wa (UNHCR) ameipongeza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa kuhudumia vyema wakimbizi.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Iran haitaachana na haki yake ya teknolojia ya nyuklia
May 23, 2025 08:43Imam wa muda wa Swala ya Ijumaa hapa Tehran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haitasalimu amri na kuachana na haki yake isiyoweza kupokonywa ya matumizi ya amani ya teknolojia ya nyuklia.
-
Jenerali Baqeri: Vikosi vya Iran havitasita kujibu vitisho vya maadui
May 23, 2025 02:56Mkuu wa Vikosi vya Majeshi ya Iran amesema wanajeshi wa nchi hii hivi sasa wanatengeneza aina mbalimbali za ndege zisizo na rubani na ndege ndogo, akionya kwamba Jamhuri ya Kiislamu itajibu vitisho vyovyote vya maadui kwa jibu lenye mlingano sawa.
-
"Iwapo maadui wangeliamini Iran inaweza kushindwa, wasingejadiliana"
May 22, 2025 23:30Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza kuwa, jukumu la msingi la wizara hiyo ni kujitahidi kuondosha vikwazo na kuongeza kuwa, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje anayesimamia Diplomasia ya Kiuchumi na balozi za Iran nje ya nchi zinapaswa kuwezesha mchakato huo na kuondolewa vikwazo vyote dhidi ya taifa hili.
-
Wabunge wa Iran walaani hatua ya Bunge la UK kuitambua IRGC kuwa 'kundi la kigaidi'
May 20, 2025 22:57Wabunge wa Iran wamelaani vikali hatua ya wabunge wa Bunge la Uingereza ya kuliorodhesha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) kuwa shirika la kigaidi, wakiapa kuchukua hatua za kisheria za kujibu mapigo.
-
Ahmadian: Iran na Pakistan hazitaruhusu usalama wa kikanda kutumiwa vibaya na maadui
May 20, 2025 02:53Afisa usalama wa ngazi ya juu wa Iran amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Pakistan kamwe hazitaruhusu usalama wa kanda hii kutumiwa vibaya na maadui.
-
"Makubaliano na US yanaweza kufikiwa Washington ikiacha mashinikizo"
May 19, 2025 03:56Rais wa Iran, Masoud Pezeshkian amesema mlango wa kufikia makubaliano na Marekani upo wazi iwapo Washington itaachana na tabia yake ya uonevu na sera zake za mashinikizo na kuiburuza Tehran katika mazungumzo kuhusu mpango wa nyuklia wa Jamhuri ya Kiislamu.
-
Umuhimu wa Mkutano wa Kimataifa wa Jukwaa la Mazungumzo ya Tehran
May 18, 2025 07:24Mkutano wa Kimataifa wa Jukwaa la Mazungumzo ya Tehran unafanyika kwa kuwashirikisha takriban wageni 200 kutoka nchi 53 duniani. Mkutano huo umefunguliwa rasmi mapema leo katika hafla iliyohudhuriwa na Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Waziri wa Mambo ya Nje, Abbas Araqchi.