Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Duru mpya ya hatua za kidiplomasia za Iran kwa ajili ya kukabiliana na makundi ya kitakfiri na kigaidi katika eneo

    Duru mpya ya hatua za kidiplomasia za Iran kwa ajili ya kukabiliana na makundi ya kitakfiri na kigaidi katika eneo

    Dec 01, 2024 08:46

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha duru mpya ya hatua za kidiplomasia katika eneo kwa ajili ya kukabiliana na makundi ya kigaidi na kitakfiri.

  • Ivory Coast yasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran

    Ivory Coast yasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran

    Dec 01, 2024 00:42

    Balozi wa Ivory Coast nchini Iran amesisitiza azma ya nchi yake ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran.

  • Iran na nchi tatu za Ulaya zaafikiana kuendeleza mazungumzo ya kidiplomasia

    Iran na nchi tatu za Ulaya zaafikiana kuendeleza mazungumzo ya kidiplomasia

    Nov 30, 2024 03:58

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran wa masuala ya Sheria na Kimataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu na nchi tatu za Ulaya zimeafikiana kuendeleza mazungumzo ya kidiplomasia.

  • Iran yawataka wasomi wa Kiislamu kuzuia dhulma dhidi ya Waislamu huko Palestina na Lebanon

    Iran yawataka wasomi wa Kiislamu kuzuia dhulma dhidi ya Waislamu huko Palestina na Lebanon

    Nov 28, 2024 07:57

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amewataka wanazuoni wa Ulimwengu wa Kiislamu kuwatetea watu wanaodhulumiwa na Waislamu kote duniani, na pia kuchukua maamuzi ya kijasiri ya kusitisha ukatili na jinai zinazofanyika katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.

  • Hizbullah yaishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa himaya yake ya pande zote

    Hizbullah yaishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa himaya yake ya pande zote

    Nov 28, 2024 07:56

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imemshukuru Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kutokana na himaya yake na hatua za kidiplomasia za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kusimamisha vita nchini Lebanon.

  • Iran na Algeria zatilia mkazo udharura wa kushirikiana kupambana na Israel

    Iran na Algeria zatilia mkazo udharura wa kushirikiana kupambana na Israel

    Nov 25, 2024 22:57

    Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Nje ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amefanya mazungumzo na Spika wa Bunge la Algeria na pande mbili zimetilia mkazo udharura wa kushirikiana mabunge ya nchi zao kukomesha jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza na Lebanon.

  • Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran aahidi uungaji mkono endelevu kwa Muqawama

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran aahidi uungaji mkono endelevu kwa Muqawama

    Nov 25, 2024 07:48

    Israel imefikia katika hali ya mkwamo, na Jamhuri ya Kiislamu itaendelea daima kuunga mkono mapambano halali na ya haki dhidi ya utawala wa kibaguzi wa Israel.

  • Araghchi kushiriki mkutano wa UNAOC nchini Ureno

    Araghchi kushiriki mkutano wa UNAOC nchini Ureno

    Nov 25, 2024 00:21

    Abbas Araghchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anatazamia kuelekea nchini Ureno kushiriki katika mkutano wa 10 wa kimataifa wa Kongamano la Muungano wa Umoja wa Mataifa wa Ustaarabu (UNAOC).

  • SEPAH: Magaidi 88 wameangamizwa na kutiwa mbaroni kusini mashariki mwa Iran + Video

    SEPAH: Magaidi 88 wameangamizwa na kutiwa mbaroni kusini mashariki mwa Iran + Video

    Nov 24, 2024 03:58

    Msemaji wa luteka ya kijeshi ya kambi ya Quds ya Jeshi la Nchi Kavu la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH ametangaza habari ya kuangamizwa na kutiwa mbaroni magaidi 88 katika mazoezi ya kijeshi ya mashahidi wa usalama kwenye mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran.

  • Iran na Qatar zasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza

    Iran na Qatar zasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza

    Nov 21, 2024 04:27

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar katika mazungumzo yao mjini Tehran wamesisitiza juu ya ulazima wa kukomeshwa mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS