-
Iran na Qatar zasisitiza ulazima wa kuhitimishwa mauaji ya kimbari Ukanda wa Gaza
Nov 21, 2024 04:27Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar katika mazungumzo yao mjini Tehran wamesisitiza juu ya ulazima wa kukomeshwa mauaji ya kimbari katika Ukanda wa Gaza.
-
Kikao cha pili cha kamati ya pande tatu za Iran, Saudi Arabia na China chafanyika Riyadh
Nov 20, 2024 08:26Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Saudi Arabia na China zimefanya kikao cha pili cha pande tatu huko Riyadh, Saudi Arabia kwa shabaha ya kufuatilia makubaliano yaliyofikiwa huko Beijing na kuimarisha kiwango cha ushirikiano.
-
Iran: Ni muhimu kuwepo mshikamano wa kimataifa kwa ajili ya kuwahami wanawake na watoto wa Gaza na Lebanon
Nov 20, 2024 08:13Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya wanawake na familia amesisitiza umuhimu wa mshikamano wa kimataifa kwa ajili ya kuwahami na kuwasaidia wanawake na watoto wa Gaza na Lebanon.
-
Siku ya Utamaduni wa Washirazi yaadhimishwa nchini Tanzania
Nov 19, 2024 07:42Balozi wa Iran nchini Tanzania ameshiriki katika Siku ya Utamaduni wa Washirazi iliyofanyika jijini Dar es Salaam ili kuzidi kutia nguvu uhusiano wa kiudugu ulipo baina ya Iran na Tanzania.
-
Waziri wa Ulinzi wa Iran: Tutaendelea kuunga mkono Mhimili wa Muqawama
Nov 18, 2024 03:54Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, Tehran itaendelea kuuunga mkono Mhimili wa Muqawama, serikali na wananchi wa Syria.
-
Maulamaa wa Kisunni Iran wawaandikia barua wenzao katika Ulimwengu wa Kiislamu kuhusu Vita vya Ghaza
Nov 17, 2024 10:39Mamia ya Maulamaa mashuhuri wa Kisunni wa nchini Iran wametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kivitendo na Maulamaa wa Ulimwengu wa Kiislamu katika kukabiliana na jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika Ukanda wa Ghaza.
-
Iran yalitaka Baraza la Usalama kuchukua hatua za kukomesha jinai za Israel
Nov 16, 2024 09:03Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kuchukuliwa hatua za lazima ili kukomesha jinai za utawala ghasibu wa Israel.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Mashambulizi ya Israel dhidi ya Gaza na Lebanon ni vita vya ukafiri dhidi ya kambi ya haki
Nov 15, 2024 10:11Hatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amevitaja vita vya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya watu wa Gaza na Lebanon kuwa ni vita kati ya haki na batili.
-
Iran na Angola zalaani jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel
Nov 15, 2024 04:18Balozi mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Angola na rais wa nchi hiyo wamelaani vitendo vya jinai vya utawala wa Kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Araghchi: Iran haitafanya mazungumzo chini ya mashinikizo
Nov 15, 2024 00:27Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Tehran iko tayari kuketi katika meza ya mazungumzo ya nyuklia na Troika ya Umoja wa Ulaya kulingana na maslahi na haki za Iran na si chini ya mashinikizo na vitisho.