-
Safari ya Rais wa Iran nchini Uganda+VIDEO
Jul 13, 2023 07:39Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa dini mbalimbali nchini Uganda akiwemo Mufti Mkuu Sheikh Shaaban Ramadhan Mubaje
-
Safari ya Rais Ebrahim Raisi wa Iran nchini Uganda
Jul 13, 2023 07:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatano jioni aliwasili Kampala katika safari rasmi ya siku mbili nchini Uganda ikiwa ni katika duru pili ya safari yake ya kikanda katika bara la Afrika. Safari hiyo imefanyika kwa mwaliko rasmi wa Rais Yoweri Museveni wa Uganda.
-
Rais wa Iran awashambulia Wamagharibi kwa kutetea vitendo vichafu vya ushoga
Jul 13, 2023 06:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyashambulia madola ya Maagharibi kutokana na hatua yao ya kutetea vitendo vichafu vya ushoga na mahusiano ya kingono ya watu wa jinsia moja.
-
Raisi: Iran iko tayari kuhamisha uzoefu wake na kubadilishana mafanikio na Uganda
Jul 13, 2023 04:35Rais wa Iran ameashiria kuanza kazi ofisi ya uvumbuzi na teknolojia ya Iran huko Uganda na uwezo mkubwa mzuri wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran khususan katika nyanja za tiba, sayansi, teknolojia na kilimo, na kueleza kuwa Iran ipo tayari kuhamisha uzoefu wake katika nyanja hizo na katika kalibu ya kustawisha ushirikiano wa kibiashara na kiuchumi kati yake na Uganda.
-
Hati 4 za ushirikiano zatiwa saini mbele ya Marais wa Iran na Uganda
Jul 13, 2023 01:03Viongozi wa ngazi ya juu wa Iran na Uganda wamesaini hati nne za ushirikiano mbele ya Marais wa nchi mbili hizo.
-
Rais Raisi alakiwa rasmi na Rais Yoweri Museveni wa Uganda Ikulu ya Entebe
Jul 12, 2023 12:08Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili nchini Uganda akiendelea na ziara yake ya kieneo barani Afrika ambapo amelakiwa na kukaribishwa rasmi na Rais Yoweri Kaguta Museveni wa nchi hiyo katika Ikulu ya Entebe.
-
Kenya, kituo cha kwanza cha safari ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran barani Afrika
Jul 12, 2023 07:37Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo Jumatano amewasili Nairobi mji mkuu wa Kenya akiongoza ujumbe wa ngazi za juu, akiwa katika ziara ya kuzitembelea nchi tatu za Kenya, Uganda na Zimbabwe.
-
Iran na Kenya zaazimia kuimarisha ushirikiano katika sekta mbali mbali
Jul 12, 2023 07:18Marais William Ruto wa Kenya na Ebrahim Raisi wa Iran wamesisitiza umuhimu wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika sekta mbali mbali. Hayo yamebainika katika hotuba za marais hao leo mjini Nairobi baada ya mazungumzo.
-
Iran na Kenya zatiliana saini hati tano za ushirikiano
Jul 12, 2023 03:54Iran na Kenya zimetiliana saini hati tano za ushirikiano katika nyuga tofauti za mawasiliano, uvuvi, kilimo, afya na elimu ya ufundi, maarifa na matibabu.
-
Video: Rais Raisi apokewa rasmi na Rais William Ruto wa Kenya katika ziara ya kuzitembelea Kenya, Uganda na Zimbabwe
Jul 12, 2023 01:19Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mapema leo alfajiri amewasili jijini Nairobi na kuanza ziara rasmi ya kuzitembelea nchi tatu za Afrika za Kenya, Uganda na Zimbabwe.