Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Ajuza wa Kiiraq aliyeishi umri mrefu zaidi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 138

    Ajuza wa Kiiraq aliyeishi umri mrefu zaidi afariki dunia akiwa na umri wa miaka 138

    Oct 05, 2023 13:38

    Mwanamke mzee zaidi nchini Iraq ameaga dunia katika eneo la al-Islah, lililoko mashariki mwa mji wa Nasiriyah akiwa umri wa miaka 138.

  • Al Sudani: Iraq inapinga kukiukwa mamlaka ya kujitawala ya nchi jirani

    Al Sudani: Iraq inapinga kukiukwa mamlaka ya kujitawala ya nchi jirani

    Oct 04, 2023 06:48

    Waziri Mkuu wa Iraq amesisitiza kwa mara nyingine tena kwamba nchi yake haitageuzwa kuwa sehemu ya kukika mamlaka ya kujitawala ya nchi yoyote ile hasa nchi jirani.

  • Jumanne tarehe 3 Oktoba 2023

    Jumanne tarehe 3 Oktoba 2023

    Oct 03, 2023 02:42

    Leo ni Jumanne tarehe 17 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1445 Hijria sawa na Oktoba 3 mwaka 2023.

  • Kamanda wa jeshi la Iraq: Hatuhitaji wanajeshi wa kigeni wawepo nchini

    Kamanda wa jeshi la Iraq: Hatuhitaji wanajeshi wa kigeni wawepo nchini

    Sep 28, 2023 14:17

    Kamanda wa operesheni za pamoja za vikosi vya ulinzi vya Iraq amesema: "nchi hii ina uwezo unaohitajika wa kupambana na magaidi na wala haihitaji kuwepo askari wa kigeni".

  • Uturuki yafanya mazungumzo na Iraq, Qatar na UAE kuhusu mradi wa

    Uturuki yafanya mazungumzo na Iraq, Qatar na UAE kuhusu mradi wa "Barabara ya Maendeleo"

    Sep 16, 2023 02:19

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amethibitisha kuwa nchi yake inafanya mazungumzo na Iraq, Muungano wa Falme za Kiarabu (UAE) na Qatar kuhusu mradi wa "Barabara ya Maendeleo".

  • Ebrahim Raisi: Iran imethibitisha kuwa ni rafiki wa Iraq katika nyakati ngumu

    Ebrahim Raisi: Iran imethibitisha kuwa ni rafiki wa Iraq katika nyakati ngumu

    Sep 14, 2023 07:39

    Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haijawahi kusita kutoa msaada wowote kwa ajili ya kuihami Iraq katika vita dhidi ya magaidi wa Daesh (ISIS) na imethibitisha kivitendo kuwa ni rafiki mwaminifu wa Iraq katika nyakati ngumu.

  • Rais wa Iraq: Uhusiano wa Iran na Saudia unaimarisha usalama wa eneo

    Rais wa Iraq: Uhusiano wa Iran na Saudia unaimarisha usalama wa eneo

    Sep 06, 2023 03:14

    Rais wa Iraq amesema kuwepo uhusiano wa karibu kati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Saudi Arabia kutapelekea kuimarikaa usalama na uthabiti wa eneo.

  • Mkuu wa Maulamaa wa Kisuni Iraq: Kambi ya Al-Houl inatumiwa na Marekani kuandaa magaidi wa DAESH (ISIS)

    Mkuu wa Maulamaa wa Kisuni Iraq: Kambi ya Al-Houl inatumiwa na Marekani kuandaa magaidi wa DAESH (ISIS)

    Sep 02, 2023 08:06

    Mkuu wa Umoja wa Wanazuoni wa Kisuni wa Iraq katika mkoa wa Diyala ametahadharisha juu ya hatari ya kambi ya al-Houl kwa usalama wa Iraq na eneo kwa ujumla na akaeleza kwamba kambi hiyo imeanzishwa na Marekani kwa ajili ya kutoa mafunzo na kuandaa kizazi cha nne cha kundi la kigaidi na ukufurishaji la DAESH (ISIS).

  • Askari 11,000 wa al Hashd al Shaabi kulinda usalama wa wafanyaziara ya Arubaini nchini Iraq

    Askari 11,000 wa al Hashd al Shaabi kulinda usalama wa wafanyaziara ya Arubaini nchini Iraq

    Aug 26, 2023 11:59

    Harakati ya kujitolea ya wananchi wa Iraq maarufu kwa jina la al Hashd al Shaabi imesisitiza kuwa iko tayari kushirikiana na taasisi nyingine za usalama za nchi hiyo kulinda usalama wa Waislamu wakati wa ziara ya Arubaini ya Imam Husain AS na kusisitiza kuwa, askari wake 11,000 watashiriki kwenye zoezi hilo.

  • Kata'ib Hizbullah: Tutasambaratisha 'miradi ya US' Asia Magharibi

    Kata'ib Hizbullah: Tutasambaratisha 'miradi ya US' Asia Magharibi

    Aug 24, 2023 07:32

    Harakati ya Kata'ib Hizbullah ya Iraq imeionya vikali Marekani na kusema kuwa itasambaratisha miradi ya Washington katika eneo la Asia Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS