-
Ayatullah Sistani: Papa Francis alikuwa na hadhi ya juu kiroho mbele ya mataifa mengi
Apr 22, 2025 05:17Kiongozi Mkuu wa kidini wa Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Iraq Ayatullah Sayyid Ali Sistani amesema, Papa Francis alikuwa na hadhi ya juu kiroho mbele ya mataifa mengi kutokana na mchango wake wa kipekee katika kuhimiza amani na kuvumiliana pamoja na kuonyesha mshikamano na watu wanaodhulumiwa duniani.
-
Muqawama Iraq: Huenda kongozi wa Hayat Tahrir al-Sham ya Syria akamatwa akija Baghdad
Apr 20, 2025 22:55Kiongozi wa kundi la Muqawama na kupambana na ugaidi la Asa’ib Ahl al-Haq nchini Iraq ameonya kwamba, anayejiita rais wa Syria Abu Mohammed al-Jolani anaweza kukamatwa atakapowasili Baghdad, kutokana na kuwepo hati ya kukamatwa kwake.
-
Iraq: Tuna hamu ya kushirikiana na Iran kuimarisha utulivu wa kieneo
Apr 11, 2025 22:50Rais wa Iraq, Abdul Latif Rashid ametangaza utayarifu wa nchi yake wa kufanya kazi na kushirikiana na Iran ili kuhakikisha kuwa eneo hili la Asia Magharibi linakuwa na utulivu na usalama.
-
Rais wa Iran asisitiza umoja kati ya nchi za Kiislamu
Feb 04, 2025 04:17Rais wa Iran amesema kuwa nchi za Kiislamu zinapasa kujiepusha na masuala yanayozusha hitilafuna badala yake zinapasa kushikama na kuwa kitu kimoja; na kwa njia hiyo ni wazi kuwa njama za maadui na wale wanaozitakia mabaya wenzao hazitafanikiwa.
-
Jumatano, 29 Januari, 2025
Jan 29, 2025 00:37Leo ni Jumatano tarehe 28 Rajab, 1446 Hijria sawa na tarehe 29 Januari, 2025.
-
Ijumaa, Januari 17, 2025
Jan 16, 2025 23:24Leo ni Ijumaa tarehe 16 Rajab 1446 Hijria sawa na Januari 17 mwaka 2025 Milaadia.
-
Katika hatua ya kuaibisha, Baraza la Wawakilishi la US lapitisha muswada wa vikwazo dhidi ya ICC
Jan 10, 2025 08:42Katika hatua ya kuaibisha, Baraza la Wawakilishi la Marekani limeidhinisha mswada wa kuwawekea vikwazo maafisa wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kama jibu kwa hatua ya mahakama hiyo ya kutoa hati za kukamatwa viongozi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuhusika na uhalifu wa kivita katika Ukanda wa Ghaza.
-
Spika Qalibaf atilia mkazo kupanuliwa ushirikiano wa kiuchumi, kiusalama na kiulinzi baina ya Iran na Iraq
Jan 09, 2025 03:46Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema katika mazungumzo aliyofanya na Waziri Mkuu wa Iraq kwamba, adui anataka kupanua harakati za makundi ya ukufurishaji katika eneo na hivyo amesisitizia kupanuliwa ushirikiano wa kiuchumi, kiusalama na kiulinzi baina ya nchi mbili.
-
Kiongozi Muadhamu atilia mkazo wajibu wa kupambana na wavamizi
Jan 08, 2025 23:51Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, amesisitizia wajibu wa kupambana na uvamizi wa Marekani nchini Iraq. Ametoa mwito huo wakati alipoonana na Waziri Mkuu wa Iraq na ujumbe alioongozana nao waliokwenda kumtembelea ofisini kwake hapa Tehran jana Jumatano.
-
Mashinikizo kwa serikali ya Iraq ya kuvunja Hashd al-Shaabi
Jan 07, 2025 07:20Mashinikizo ya kigeni hususan kutoka Marekani yameongezeka kwa serikali ya Iraq ili kuivunja Harakati ya Wananchi ya Hashd al-Shaabi.