Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Marekani yawaliwaza kwa medali askari wake waliojeruhiwa katika shambulizi la Iran

    Marekani yawaliwaza kwa medali askari wake waliojeruhiwa katika shambulizi la Iran

    May 05, 2020 03:34

    Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani imewatunuku medali za heshima makumi ya askari wake waliojeruhiwa katika shambulizi kali la Iran la mapema mwaka huu nchini Iraq.

  • Sababu za kudhihiri tena Daesh nchini Iraq

    Sababu za kudhihiri tena Daesh nchini Iraq

    May 04, 2020 05:24

    Magaidi wa kundi la Daesh wameshambulia Harakati ya Wananchi wa Iraq Hashdu Sha'bi, na kuua pamoja na kujeruhi makumi ya wanaharakati wa kundi hilo la mapambano ya Kiislamu.

  • Hizbullah ya Iraq: Harakati za genge la Daesh (ISIS) zinatokana na mipango ya Marekani na Saudia

    Hizbullah ya Iraq: Harakati za genge la Daesh (ISIS) zinatokana na mipango ya Marekani na Saudia

    May 04, 2020 02:45

    Msemaji wa Kisiasa wa Kundi la Muqawama la Hizbullah ya Iraq amesema kuwa, harakati mpya za kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mikoa tofauti ya nchi hiyo, zinahusiana na mipango ya Marekani na Saudi Arabia.

  • Wairaqi waandamana kulaana shambulizi la Daesh dhidi ya Hashd al-Sha'abi

    Wairaqi waandamana kulaana shambulizi la Daesh dhidi ya Hashd al-Sha'abi

    May 03, 2020 03:39

    Wananchi wa Iraq wamefanya maandamano katika mji mkuu Baghdad kulaani shambulizi la hivi karibuni la kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) lililoua na kujeruhi makumi ya wanachama wa harakati ya kujitolea wananchi ya Hashdu Sha'abi.

  • Iran: Tuko tayari kuwanufaisha wengine uzoefu tuliopata wa kukabiliana na corona

    Iran: Tuko tayari kuwanufaisha wengine uzoefu tuliopata wa kukabiliana na corona

    May 02, 2020 03:22

    Mkuu wa Komandi Kuu ya Majeshi ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kuyanufaisha mataifa mengine uzoefu wake katika suala la kupambana na ugonjwa wa COVID-19.

  • Mazungumzo ya kuondoka jeshi la Marekani nchini Iraq kuanza mwezi Juni

    Mazungumzo ya kuondoka jeshi la Marekani nchini Iraq kuanza mwezi Juni

    Apr 26, 2020 20:11

    Msemaji wa Mkuu wa Majeshi ya Iraq amesema kuwa, mazungumzo ya jinsi ya kuondoka majeshi ya Marekani katika ardhi ya nchi hiyo yataanza mwezi Juni mwaka huu.

  • Rais Barham Salih: Iraq itazishinda changamoto inazokabiliwa nazo; Iran ni jirani yetu muhimu

    Rais Barham Salih: Iraq itazishinda changamoto inazokabiliwa nazo; Iran ni jirani yetu muhimu

    Apr 22, 2020 22:14

    Rais Barham Salih wa Iraq amezungumzia masuala mbalimbali zikiwemo changamoto zinazoikabili nchi hiyo, mgogoro wa kiuchumi, uhusiano wa nchi yake na Iran na mchakato wa kuundwa serikali mpya katika nchi hiyo.

  • Marekani ndiyo ilipanga mashambulizi ya hivi karibuni ya Daesh nchini Iraq

    Marekani ndiyo ilipanga mashambulizi ya hivi karibuni ya Daesh nchini Iraq

    Apr 21, 2020 07:17

    Mjumbe wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa katika Bunge la Iraq amesema kuwa Wamarekani ndio waliopanga mashambulizi ya hivi karibuni ya magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini humo.

  • Viongozi wa kidini nchini Iraq wasisitizia kuainishwa muda wa kuondoka askari wa kigeni nchini humo

    Viongozi wa kidini nchini Iraq wasisitizia kuainishwa muda wa kuondoka askari wa kigeni nchini humo

    Apr 20, 2020 22:26

    Mkuu wa Mrengo wa Badr katika Bunge la Iraq amesema kuwa maraajii wa kidini wa nchi hiyo wanasisitiza suala la kuainishwa muda wa kuondoka vikosi vya askari wa kigeni nchini humo.

  • Yaelezwa kuwa kinara mpya wa Daesh (ISIS) amepenya nchini Iraq kwa msaada wa Marekani

    Yaelezwa kuwa kinara mpya wa Daesh (ISIS) amepenya nchini Iraq kwa msaada wa Marekani

    Apr 20, 2020 12:55

    Chanzo kimoja cha usalama nchini Iraq kimesema kuwa, kwa mujibu wa taarifa za kiintelejensia zilizopatikana, Abu Ibrahim al-Hashimi al-Qurashi, kiongozi mpya wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) amepenya nchini humo kwa msaada wa askari magaidi wa Marekani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS