-
Viongozi wa kidini nchini Iraq wasisitizia kuainishwa muda wa kuondoka askari wa kigeni nchini humo
Apr 20, 2020 22:26Mkuu wa Mrengo wa Badr katika Bunge la Iraq amesema kuwa maraajii wa kidini wa nchi hiyo wanasisitiza suala la kuainishwa muda wa kuondoka vikosi vya askari wa kigeni nchini humo.
-
Yaelezwa kuwa kinara mpya wa Daesh (ISIS) amepenya nchini Iraq kwa msaada wa Marekani
Apr 20, 2020 12:55Chanzo kimoja cha usalama nchini Iraq kimesema kuwa, kwa mujibu wa taarifa za kiintelejensia zilizopatikana, Abu Ibrahim al-Hashimi al-Qurashi, kiongozi mpya wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) amepenya nchini humo kwa msaada wa askari magaidi wa Marekani.
-
Malalamiko ya Baghdad juu ya kuendelea operesheni za kijeshi za Uturuki kaskazini mwa Iraq
Apr 19, 2020 22:00Operesheni za askari wa Uturuki huko kaskazini mwa Iraq kwa mara nyingine zimekabiliwa na malalamiko ya serikali ya Baghdad.
-
Silaha za Marekani zagunduliwa katika ngome za genge la Daesh (ISIS) Kirkuk, Iraq
Apr 17, 2020 00:08Mmoja wa makamanda wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi ya Iraq amevieleza vyombo vya habari kuhusu taarifa ya kugunduliwa silaha za Marekani katika ngome za kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) katika mkoa wa Kirkuk, kaskazini mwa Iraq.
-
Wanazuoni wa dini zote duniani watakiwa waungane kupinga vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran
Apr 16, 2020 10:19Mkuu wa Baraza la Maulamaa wa Kisuni nchini Iraq amewatolea mwito wanazuoni wa dini na madhehebu zote duniani kuchukua msimamo mmoja wa kupinga vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya wananchi wa Iran.
-
Makumi ya askari wa Marekani walioko Iraq wakumbwa na corona
Apr 11, 2020 10:34Makumi ya askari wa jeshi vamizi la Marekani nchini Iraq wameambukizwa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona.
-
Waziri Mkuu mteule wa Iraq: Mamlaka ya kitaifa ya kujitawala ni mstari mwekundu kwangu
Apr 10, 2020 23:45Waziri Mkuu mpya mteule wa Iraq Mustafa al-Kadhimi amesema, mafanikio ya nchi hiyo katika mahusiano ya kimataifa yatapatikana kwa "kuheshimiana na kushirikiana".
-
Kujiuzulu al-Zurfi na kufunguliwa njia ya kupatikana mshikamano wa kisiasa ndani ya Iraq
Apr 10, 2020 03:54Baada ya kujiuzulu Adnan al-Zurfi, Rais Barham Salih wa Iraq amemteua Mustafa al-Kadhimi kuwa waziri mkuu mpya na kumpa jukumu la kuunda serikali.
-
Kamisheni ya Usalama ya Bunge la Iraq yaonya kuhusu kupuuzwa uwepo wa Marekani nchini humo
Apr 08, 2020 08:36Mkuu wa Kamisheni ya Usalama na Ulinzi ya Bunge la Iraq ametahadharisha kuhusiana na kuendelea kuwepo majeshi ya Marekani katika kituo cha Ain al-Assad katika mkoa wa al-Anbar na al-Harir katika eneo lenye Mamlaka ya Ndani la Kurdestan.
-
Vuta nikuvute juu ya uwaziri mkuu wa al-Zurfi huku makundi ya Kiiraqi yakikaribia kufikia mwafaka
Apr 08, 2020 03:16Kufuatia upinzani mkali wa makundi ya Kishia kwa pendekezo la kumfanya Adnan al-Zurfi waziri mkuu mpya wa Iraq, waungaji mkono wa waziri mkuu huyo mteule aliyepewa jukumu la kuunda serikali wameyumba kimsimamo na hivi sasa makundi ya kisiasa nchini humo yanakaribia kufikia mwafaka wa kumpendekeza shakhsia mwingine mpya wa kushika wadhifa huo.