-
Velayati: Baada ya muda si mrefu Yemen pia itajumuishwa kwenye kambi ya Muqawama
Apr 19, 2018 23:49Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika masuala ya kimataifa amesema: kambi ya muqawama imepanuka kwa kuanzia Iran na kuenea hadi Palestina, Syria na Iraq; na muda si mrefu Yemen pia itajumuishwa kwenye kambi hiyo.
-
Waziri Mkuu wa Iraq: Iraq iliyo imara haitaruhusu DAESH warudi tena nchini
Apr 18, 2018 22:32Waziri Mkuu wa Iraq Haidar al-Abadi amesisitiza kuwa, kwa kutegemea umoja na mshikamano wake na uwezo wa wapiganaji na wanachi wake, Iraq haitaruhusu magaidi wa DAESH (ISIS) warudi tena nchini humo.
-
Wairaq waandamana kuulaani utawala wa Aal-Saud kutokana na jinai zao dhidi ya Waislamu
Mar 31, 2018 03:08Maelfu ya raia wa Iraq wamefanya maandamano kwa kukusanyika katika medani ya Bairut, mjini Baghdad, ambapo wametaka kupandishwa katika mahakama ya kimataifa viongozi wa utawala wa kifalme wa Aal-Saud wa nchini Saudi Arabia kutokana na jinai zao za kivita nchini Iraq, Syria, Bahrain na Yemen.
-
Mabomu elfu moja ya kutegwa ardhini yapatikana Kirkuk, Iraq
Mar 28, 2018 11:27Kundi la kujitolea la wananchi wa Iraq la al Hashdu al Sha'abi limearifu kuwa limepata mabomu elfu moja ya kutegwa ardhini yaliyoundwa nchini Ujerumani kupitia operesheni ya usalama kusini magharibi mwa mkoa wa Kirkuk huko Iraq.
-
Iraq: Saudia ituombe radhi kwa kutuma magaidi elfu 5 nchini
Mar 25, 2018 06:18Muungano wa Utawala wa Sheria nchini Iraq umeutaka utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia uliombe radhi taifa hilo kutokana na madhara lililoyapata, kwa hatua ya Riyadh kutuma maelfu ya magaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Kuwait: Ni muhali eneo la Mashariki ya Kati kupata usalama bila kuihusisha Iran
Mar 24, 2018 21:50Waziri wa Ulinzi wa Kuwait amesema kuwa, ni muhali eneo la Mashariki ya Kati kupata usalama bila kuishirikisha na kuiweka karibu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq.
-
Ung'ang'anizi wa Marekani wa kuendelea kuweko wanajeshi wake nchini Iraq
Mar 24, 2018 21:49Msemaji wa komandi ya operesheni za kijeshi ya Marekani huko magharibi mwa Iraq amedai kuwa bado kuna udharura wa kuweko wanajeshi wa nchi hiyo katika eneo hilo.
-
India: Raia wetu 39 waliotekwa na Daesh nchini Iraq, waliuawa na magaidi hao
Mar 21, 2018 23:18Waziri wa Mambo ya Nje wa India amethibitisha habari ya kuuawa raia 39 wa nchi hiyo waliotekwa na wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) nchini Iraq miaka michache iliyopita.
-
Radiamali ya Iraq dhidi ya misimamo ya uingiliaji ya Imarati
Mar 21, 2018 21:50Ahmad Mahbub, msemaji wa chombo cha diplomasia cha Iraq ametoa taarifa akimtahadharisha Anwar Qarqash, Waziri Mshauri katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) kuhusiana na matamshi yake yasiyo ya uwajibikaji, alipozitaja shughuli za wapiganaji wa kujitolea wa Iraq (Hashd as-Sha'bi) kuwa ni za kigaidi, na kuonya kwamba huenda matamshi kama hayo yakaharibu uhusiano wa nchi mbili.
-
Waziri Mkuu wa Iraq aonya kuhusu hujuma za kigaidi za kundi la Daesh
Mar 21, 2018 04:44Waziri Mkuu wa Iraq ametahadharisha kuhusu hujuma na mashambulizi yanayoweza kufanywa na mabaki ya kundi la kigaidi la Daesh sambamba na kukaribia uchaguzi wa Bunge nchini humo uliopangwa kufanyika tarehe 12 mwezi Mei mwaka huu.