• Marekani yakiri kuuwa mamia ya raia Syria na Iraq

    Marekani yakiri kuuwa mamia ya raia Syria na Iraq

    Jul 08, 2017 22:20

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imekiri kuwa, ndege za kivita za nchi hiyo na waitifaki wake zimeuwa mamia ya raia huko Syria na Iraq.

  • UN: Gharama za kuijenga upya Mosul ni zaidi ya dola bilioni moja

    UN: Gharama za kuijenga upya Mosul ni zaidi ya dola bilioni moja

    Jul 06, 2017 23:24

    Mratibu wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq amesema kuwa, gharama za kuujenga upya mji wa Mosul wa kaskazini mwa Iraq ni zaidi ya dola bilioni moja.

  • Makumi ya magaidi wa Daesh waangamizwa mjini Mosul, Iraq

    Makumi ya magaidi wa Daesh waangamizwa mjini Mosul, Iraq

    Jul 05, 2017 03:40

    Mkuu wa Jeshi la Polisi la Shirikisho la Iraq ametangaza habari ya kuangamizwa zaidi ya magaidi 60 wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh wakati wa kusafishwa eneo la kale la mji wa Mosul, kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Kipindi cha baada ya Daesh nchini Iraq na njama mpya za Marekani

    Kipindi cha baada ya Daesh nchini Iraq na njama mpya za Marekani

    Jul 04, 2017 23:34

    Katika hali ambayo kundi la kigaidi la Daesh linavuta pumzi zake za mwisho nchini Iraq katika siku hizi za kukaribia mwisho operesheni za kijeshi katika mji wa Mosul na kusafishwa sehemu kubwa ya maeneo hayo na uwepo wa magaidi hao na hivyo kuyafanya macho na masikio ya walimwengu kuelekea katika hatua ya mwisho ya uwepo wa Daesh katika nchi hiyo, duru za kisiasa za nchi hiyo ya Kiarabu zimeripoti habari ya kuweko njama mpya za Marekani katika hatua hiyo.

  • Bunge la Iraq lasherehekea kukombolewa mji wa Mosul

    Bunge la Iraq lasherehekea kukombolewa mji wa Mosul

    Jul 04, 2017 11:10

    Wabunge wa Iraq wamefanya sherehe kufurahia ushindi wa hivi karibuni na kukomblewa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa magaidi wa kitakfiri wa Daesh. Hatua hiyo imechukuliwa na Bunge la Iraq ili kuonyesha mshikamano wa Bunge na vikosi vya jeshi la nchi hiyo na harakati ya wananchi ya Hashdu Sha'abi.

  • ISIS yawafanya wakimbizi wakazi laki tisa wa Mosul, Iraq

    ISIS yawafanya wakimbizi wakazi laki tisa wa Mosul, Iraq

    Jul 03, 2017 10:46

    Waziri wa Uhamiaji wa Iraq amesema kuwa, uvamizi na uharibifu mkubwa uliofanywa na genge la kigaidi la Daesh ambao umelilazimisha taifa zima la Iraq kusimama na kuendesha mapambano ya kuukomboa mji wa Mosul wa kaskazini mwa nchi hiyo, umesababisha zaidi ya wakazi laki tisa wa mji huo kuwa wakimbizi.

  • Buriani dola la

    Buriani dola la "khilafa" bandia la Daesh

    Jun 30, 2017 04:21

    Televisheni ya taifa ya Iraq jana ilitangaza rasmi habari ya kukomeshwa na kuangamizwa kundi la Daesh katika mji wa Mosul nchini humo. Habari hiyo iliyokosha na kufurahisha nyoyo za Wairaq na watu wengi wapenda haki na uadilifu kote duniani ilikuwa hitimisho la dola bandia la khilafa ya mawahabi la Daesh ambalo lilianzishwa Juni 2014 kwa ushirikiano wa chama cha Baathi kilichovunjwa huko Iraq, kwa msaada wa Saudi Arabia na washirika wake.

  • Waislamu wa Kisuni wa Mosul, Iraq wawakaribisha kwa shangwe wapiganaji wa Kishia

    Waislamu wa Kisuni wa Mosul, Iraq wawakaribisha kwa shangwe wapiganaji wa Kishia

    Jun 28, 2017 13:40

    Furaha na shamrashamra zimeshamiri na kuwatawala wakazi wa mji wa Mosul ambao ni wa Waislamu wa Kisuni katika kuwakaribisha wapiganaji wa Kishia wa harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi, kufuatia ushindi mkubwa uliofikiwa hadi sasa dhidi ya wanachama wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) mjini humo.

  • Waislamu duniani waungana kuswali na kusherehekea Iddil-Fitri

    Waislamu duniani waungana kuswali na kusherehekea Iddil-Fitri

    Jun 25, 2017 23:50

    Leo Waislamu wa maeneo tofauti duniani wanaungana katika swala ya Iddil-Fitri, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa siku 30. Hapa Iran swala ya Iddil-Fitri imeswalishwa kitaifa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, hapa mjini Tehran muda mfupi uliopita.

  • UNESCO yaalani vikali hatua ya Daesh ya kubomoa msikiti wa kihistoria wa al Nuri

    UNESCO yaalani vikali hatua ya Daesh ya kubomoa msikiti wa kihistoria wa al Nuri

    Jun 23, 2017 00:04

    Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa (UNESCO) limelaani vikali hatua ya kundi la kigaidi la Daesh ya kubomoa Msikiti wa kihistoria wa al Nuri katika mji wa Mosul nchini Iraq.