Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Hashdu Sha'abi yamtaka Al-Abadi kuhakikisha Marekani haihusiki katika operesheni ya Mosul

    Hashdu Sha'abi yamtaka Al-Abadi kuhakikisha Marekani haihusiki katika operesheni ya Mosul

    Mar 28, 2017 03:31

    Harakati ya Asaibu Ahlul-Haq nchini Iraq ambayo ni sehemu ya harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi imemtaka Waziri Mkuu wa nchi hiyo Haider al-Abadi kuhakikisha askari wa Marekani hawashiriki kwa njia yoyote katika operesheni ya kuukomboa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa wanachama wa genge la Daesh.

  • Genge la Daesh laua raia 227 Mosul, kwa kutaka kukimbia maeneo yao

    Genge la Daesh laua raia 227 Mosul, kwa kutaka kukimbia maeneo yao

    Mar 27, 2017 23:26

    Jeshi la Iraq limetangaza kuwa, wanachama wa kundi la ukufurishaji la Daesh (ISIS) limeua raia 227 wakazi wa Mosul, baada ya raia hao kutaka kukimbia kutoka maeneo yanayodhibitiwa na magaidi hao.

  • Iran yataka Marekani ishtakiwe kwa jinai za kivita baada ya mauaji ya Mosul

    Iran yataka Marekani ishtakiwe kwa jinai za kivita baada ya mauaji ya Mosul

    Mar 26, 2017 22:13

    Afisa wa ngazi za juu nchini Iran amesema kuwa, hujuma za ndege za kivita za Marekani katika mji wa Mosul, Iraq ambazo zimeua idadi kubwa ya raia, ni jinai za kivita.

  • HRW: Daesh imezika mamia ya watu katika kaburi la umati, Mosul

    HRW: Daesh imezika mamia ya watu katika kaburi la umati, Mosul

    Mar 23, 2017 00:20

    Shirika la kutetea haki za bindamu la Human Rights Watch (HRW) limeripoti kuwa kundi la kigaidi la Daesh limeua mamia ya mahabusi katika mji wa kaskazini mwa Iraq wa Mosul na kuwazika katika kaburi la umati ambalo yumkini likawa kubwa zaidi ya makaburi yote ya umati yaliyogunduliwa nchini Iraq hadi hivi sasa.

  • Licha ya upinzani wa Iraq, Trump asisitiza kubakia askari wa US nchini humo

    Licha ya upinzani wa Iraq, Trump asisitiza kubakia askari wa US nchini humo

    Mar 21, 2017 04:15

    Licha ya pingamizi ya raia na viongozi wa Iraq juu ya kuendelea kuwepo askari wa kigeni ndani ya ardhi ya nchi yao, Rais Donald Trump wa Marekani amesisitizia kuwa askari wa nchi yake hawapaswi kuondoka nchini humo.

  • Safari ya Waziri Mkuu wa Iraq nchini Marekani; wasiwasi na matarajio yaliyopo

    Safari ya Waziri Mkuu wa Iraq nchini Marekani; wasiwasi na matarajio yaliyopo

    Mar 20, 2017 09:48

    Waziri Mkuu wa Iraq, Haidar al-Abadi, huku akiongoza ujumbe wa ngazi ya juu wa nchi yake jana alielekea mjini Washington kwa lengo la kufanya safari rasmi nchini Marekani.

  • Fethullah Gülen: Erdoğan ni mnafiki asiyefaa kuaminiwa hata kidogo

    Fethullah Gülen: Erdoğan ni mnafiki asiyefaa kuaminiwa hata kidogo

    Mar 16, 2017 00:40

    Kiongozi wa harakati ya Jama'at Gülen ambaye pia ni mpinzani wa serikali ya Uturuki, amemtumia barua kiongozi wa eneo la Kurdistan nchini Iraq, Masoud Barzani, akimuonya vikali juu ya tabia yake ya kumwamini sana Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki.

  • Alkhamisi 16 Machi, 2017

    Alkhamisi 16 Machi, 2017

    Mar 16, 2017 00:26

    Leo ni Alkhamisi tarehe 17 Rabiuthani 1438 Hijria sawa na Machi 16, 2017.

  • Jeshi la Iraq lawazingira kikamilifu magaidi wa genge la Daesh mjini Mosul

    Jeshi la Iraq lawazingira kikamilifu magaidi wa genge la Daesh mjini Mosul

    Mar 13, 2017 12:47

    Jeshi la Iraq limetangaza kuwa linawazingira kikamilifu wanachama wa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) mjini Mosul, kaskazini mwa nchi hiyo, baada ya njia zote za kuingia na kutoka mji huo kudhibitiwa na jeshi hilo.

  • Wanachama wa Daesh waliohusika na mauaji ya umati jela ya Badush watiwa nguvuni

    Wanachama wa Daesh waliohusika na mauaji ya umati jela ya Badush watiwa nguvuni

    Mar 11, 2017 23:30

    Makundi ya kujitolewa na wananchi yanayopigana katika mji wa Mosul huko kaskazini mwa Iran dhidi ya kundi la kitakfiri na kiwahabi la Daesh wamewatia nguvuni makumi ya wanachama wa kundi hilo waliofanya mauaji ya wafungwa wasiongua 500 katika jela ya Badush baada tu ya kukalia kwa mabavu mji wa Mosil mwaka 2014.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS