-
Radiamali ya viongozi wa Iraq kwa vikao vyenye kutia shaka kuhusu mustakbali wa kisiasa wa nchi hiyo
Mar 11, 2017 09:11Spika wa bunge la Iraq amesisitiza kuwa wanapinga mfumo wowote ule wa kuiweka Iraq chini ya Himaya ya ndani au nje ya nchi na pia kila mikutano na vikao vya nje ya nchi vinavyofanyika kwa lengo la kuigawa nchi hiyo.
-
Mwanachama wa Daesh ajilipua katika sherehe za harusi Iraq na kuua watu 26
Mar 09, 2017 04:34Kwa akali watu 26 wameuawa papo hapo katika mripuko wa bomu uliotokea katikati ya sherehe za harusi, karibu na mji wa Tikrit, kaskazini magharibi mwa mji mkuu Baghdad.
-
Wasiwasi wa kutumia ISIS silaha zaidi za kemikali nchini Iraq
Mar 06, 2017 00:28Shirika la Msalaba Mwekundu limetoa taarifa ya kulaani mashambulizi ya silaha za kemikali ya kundi la kigaidi la Daesh (ISIS) dhidi ya raia wasio na ulinzi wa mji wa Mosul huko Iraq.
-
Wamarekani wakiri kuua mamia ya raia Syria, Iraq
Mar 05, 2017 04:05Jeshi la Marekani jana lilikiri kuwa limeua raia wa Iraq na Syria katika kampeni inayodaiwa ni ya kupambana na kundi la Daesh kwenye nchi hizo mbili za Kiarabu na Kiislamu.
-
Daesh latumia gesi ya sumu kujaribu kulizuia jeshi la Iraq kuyakomboa maeneo yaliyosalia Mosul
Mar 03, 2017 00:49Kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) limetumia silaha zenye gesi ya sumu katika kulizuia jeshi la Iraq kusonga mbele katika maeneo yaliyosalia.
-
Iraq: Tumeazimia kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh
Mar 02, 2017 04:44Serikali ya Iraq imetangaza kuwa, imeazimia kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh na kwamba, vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vinaendelea vizuri na operesheni zake dhidi ya wanamgambo hao wa kigaidi.
-
Hatimaye kinara wa Daesh akiri kushindwa nchini Iraq, awataka wafuasi wake kukimbilia milimani
Mar 01, 2017 01:10Kinara wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) Abubakar al-Baghdadi ametoa hotuba ya mwisho akikiri kushindwa kundi hilo nchini Iraq na amewataka wafuafi wake kukimbilia maeneo ya milimani kwa usalama wao au kujiripua.
-
WFP yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya Iraq
Feb 27, 2017 23:15Mpango wa Chakula Duniani (WFP) umeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya kibinadamu inayozikabili familia za Wairaqi magharibi mwa mji wa Mosul nchini humo.
-
Wairaq: Ni kosa kubwa kuwaamini watawala wa kigaidi wa Saudia
Feb 27, 2017 10:53Sambamba na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia, Adel al-Jubeir kufanya safari nchini Iraq na kukutana na viongozi wa nchi hiyo ambapo ametaka kuimarishwa mahusiano ya pande mbili, Wairaq wameitaja safari ya waziri huyo wa Saudia kuwa ni njama chafu dhidi ya nchi yao.
-
Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia nchini Iraq
Feb 26, 2017 04:54Jumamosi ya jana Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudia aliwasili mjini Baghdad kwa ajili ya kukutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa Iraq.