Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iraq

  • Syria: Tunashirikiana kwa karibu na Iraq katika kupambana na genge la Daesh

    Syria: Tunashirikiana kwa karibu na Iraq katika kupambana na genge la Daesh

    Feb 25, 2017 10:56

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesisitizia uepo wa ushirikiano baina ya nchi yake na serikali ya Iraq katika kupambana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS).

  • Jumatano, 22 Februari, 2017

    Jumatano, 22 Februari, 2017

    Feb 23, 2017 01:05

    Leo ni Jumatano tarehe 24 Jamadil Awwal 1438 Hijria sawa na tarehe 22 Februari, 2017

  • HRW: Wanawake ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vya kundi la Daesh nchini Iraq

    HRW: Wanawake ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vya kundi la Daesh nchini Iraq

    Feb 20, 2017 12:30

    Shirika la Kutetea Haki za Binadamu la Human Rights Watch limetangaza kuwa, wanawake nchini Iraq ni wahanga wa vitendo vya ubakaji vinavyofanywa na kundi la kigaidi la Daesh.

  • 51 wauawa na wengine kujeruhiwa katika mlipuko wa kigaidi Baghdad

    51 wauawa na wengine kujeruhiwa katika mlipuko wa kigaidi Baghdad

    Feb 16, 2017 12:22

    Gari lililokuwa limetegwa bomu limeripuka katika kitongoji kimoja kusini mwa Baghdad mji mkuu wa Iraq na kuuwa makumi ya watu na kujeruhi wengine wengi.

  • Alkhamisi 16 Februari, 2017

    Alkhamisi 16 Februari, 2017

    Feb 16, 2017 00:38

    Leo ni Alkhamisi tarehe 18 Jamadil Awwal 1438 sawa na tarehe 16 Februari 2017.

  • Makamanda 13 wa Daesh (ISIS) waangamizwa katika shambulio la jeshi la anga la Iraq

    Makamanda 13 wa Daesh (ISIS) waangamizwa katika shambulio la jeshi la anga la Iraq

    Feb 14, 2017 04:13

    Jeshi la anga la Iraq limefanya shambulio katika nyumba inayodhaniwa kuwemo ndani yake kiongozi wa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh (ISIS) Abubakar al-Baghdadi pamoja na makamanda wengine waandamizi wa kundi hilo.

  • Araqchi: Iran iko mstari wa mbele kupambana na silaha za mauaji ya umati

    Araqchi: Iran iko mstari wa mbele kupambana na silaha za mauaji ya umati

    Feb 13, 2017 13:49

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, historia ya mashambulizi ya kinyama yaliyofanywa na utawala wa Baath wa Saddam, dhidi ya wananchi na raia wasio na ulinzi wa Iran ni jambo lisiloweza kusahaulika.

  • Iraq: Abubakar al-Baghdad amekimbilia Syria baada ya kuzidiwa

    Iraq: Abubakar al-Baghdad amekimbilia Syria baada ya kuzidiwa

    Feb 08, 2017 04:22

    Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi amesema kuwa, kinara wa genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) Abubakar al-Baghdad amekimbilia nchini Syria.

  • Mafanikio ya awamu ya pili ya operesheni ya ukombozi wa Tikrit-Mosul

    Mafanikio ya awamu ya pili ya operesheni ya ukombozi wa Tikrit-Mosul

    Feb 06, 2017 04:37

    Awamu ya pili ya operesheni ya kukomboa eneo la Tikrit mpaka Mosul nchini Iraq inaendelea kwa mafanikio ya kikosi cha wapiganaji wa kujitolea cha al Nujabaa.

  • Velayati: Marekani inafaa kuilipa fidia Iraq kwa kuivamia 2003

    Velayati: Marekani inafaa kuilipa fidia Iraq kwa kuivamia 2003

    Feb 06, 2017 04:34

    Mkuu wa Kituo cha Utafiti wa Kistratejia cha Halmashauri ya Kuainisha Maslahi ya Mfumo wa Kiislamu wa Iran amesema serikali ya Iraq inapaswa kupigania haki ya kufidiwa na Marekani katika vyombo vya kimataifa, kutokana na uvamizi wa utawala wa Washington dhidi yake mwaka 2003.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS