-
Kukaribia kushindwa genge la kigaidi la Daesh (ISIS) nchini Iraq
Feb 04, 2017 03:19Yan Kubish, Mjumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Iraq amesema kuwa, kushindwa kikamilifu kundi la kigaii la Daesh kumekaribia na kwamba msaada wa jamii ya kimataifa kwa Wairaki, baada ya kushindwa kundi hilo ni suala muhimu sana.
-
Jeshi la Iraq: Magaidi wa ISIS wamezingirwa kikamilifu mjini Mosul
Feb 04, 2017 00:58Msemaji wa Harakati ya Kujitolea ya Wananchi nchini Iraq amesema kuwa, wanachama wa genge la kigaidi na ukufurishaji wa Daesh (ISIS) wamezingirwa kikamilifu katika eneo la magharibi mwa mji wa Mosul nchini humo.
-
Wakimbizi wa Kiiraqi warejea katika maeneo yaliyokombolewa huko Mosul
Jan 26, 2017 00:11Maafisa wa Iraq wameeleza kuwa maelfu ya wakimbizi wamerejea makwao katika maeneo yaliyokombolewa hivi karibuni huko Mosul makao makuu ya mkoa wa kaskazini wa Nainawa.
-
Jeshi la Iraq lazidi kupata mafanikio, ladhibiti ngome kubwa ya mwisho ya magaidi, Mosul
Jan 24, 2017 11:14Jeshi la Iraq limeendelea kupata mafanikio makubwa dhidi ya magaidi wa genge la Daesh (ISIS) huko Mosul.
-
Jeshi la Iraq: Tumekomboa 90% ya mashariki mwa mji wa Mosul kutoka Daesh
Jan 17, 2017 03:38Kamanda mwandamizi wa Kitengo cha Kupambana na Ugaidi cha Jeshi la Iraq (CTS) amesema askari wa nchi hiyo wamefanikiwa kukomboa karibu asilimia 90 ya eneo la mashariki mwa mji wa Mosul kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh.
-
Nouri al-Maliki: Utawala wa Bahrain umechagua njia ya kupambana na raia wake
Jan 16, 2017 12:06Nouri al-Maliki, Mkuu wa Muungano wa Utawala wa sheria nchini Iraq amekitaja kitendo cha utawala wa Aal-Khalifa nchini Bahrain cha kuwanyonga vijana watatu wanaharakati kuwa, ni jinai chafu na hatua ya kidhalimu.
-
Trump: Marekani ilifanya makosa kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan
Jan 16, 2017 03:03Rais mteule wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo ilifanya makosa kuzivamia nchi za Iraq na Afghanistan.
-
Malengo ya Uturuki ya kuendelea kukiuka haki ya kujitawala Iraq
Jan 16, 2017 00:22Licha ya malalamiko ya kila mara na mashitaka ya serikali ya Iraq katika asasi za kieneo na kimataifa, bado Uturuki imekataa kuondoa askari wake kutoka kambi ya kijeshi ya Bashiqa.
-
Wapiganaji zaidi ya 200 wa kundi la kigaidi la Daesh waangamizwa Mosul, Iraq
Jan 10, 2017 01:19Kamanda wa operesheni ya kukomboa mji wa Mosul uliokuwa ngome kuu ya kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq amesema kuwa magaidi wasiopungua 200 wa kundi hilo wameangamizwa katika operesheni iliyofanywa na jeshi la Iraq jana Jumatatu katika mji huo.
-
Kipigo kikali cha jeshi la Iraq na harakati ya wananchi dhidi ya magaidi wa Daesh (ISIS)
Jan 08, 2017 08:29Habari kutoka Iraq zinaeleza kuwa jeshi la nchi hiyo kwa kushirikiana na harakati ya kujitolea ya wananchi, limetoa kipigo kikali kwa kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh katika mji wa Mosul na hivyo kufanikiwa kuingia mji huo ambao ni makao makuu ya mkoa wa Nainawa (Nineveh).